Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti

Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti

Share

Lengo la Jukwaa ni kuwakutanisha wanawake pamoja kujadili fursa na changamoto zao

15/03/2026

FURSA

Fursa Na Azania Bank

Photos from Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti's post 14/03/2026

Tukimsikiliza muelimishaji

14/03/2026

Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Kimara Mheshimiwa Ismail Mvungi akiteta jambo na wanawake wajasiliamali

Photos from Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti's post 14/03/2026

Mheshimiwa Diwani akikagua mashine ya kupima magonjwa ya kampuni ya ZKoon

Photos from Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti's post 14/03/2026

Ni wakati wa kutaka keki

Photos from Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti's post 14/03/2026

Mgeni rasmi, Diwani wa Kimara akikagua bidhaa za wajasiliamali

Photos from Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi, Mtaa wa Baruti's post 14/03/2026

Uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Mitaa ya Baruti na Kimara Baruti

13/03/2026

Karibuni wote

23/02/2026

TANGAZO

UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI MITAA YA BARUTI NA KIMARA BARUTI

19/02/2026
Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kimara Baruti
Dar Es Salaam