08/06/2026
Kusini Unguja📍
Wajumbe wa Kamati ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Mkoa wa Kusini Unguja wakitoa elimu kwa wawakilishi wa vijana na wanafunzi wa vyuo katika Shehia ya Tunguu Wilaya ya Kati.
Washiriki walipewa mafunzo kuhusu haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za mawasiliano pamoja na matumizi sahihi ya huduma za mawasiliano.
Aidha; katika mafunzo hayo washiriki walipata fursa ya kutoa maoni mbalimbali kwa lengo la kuboresha sekta ya mawasiliano nchini

05/06/2026
04/06/2026
03/06/2026
01/06/2026
27/05/2026