N3

N3

Share

Mitazamo mipya kwa ajili ya maendeleo yako. New Leader, New Vision and New Direction

Photos 24/09/2015
23/08/2015

kupitia page hii ya N3 mtapata habari za vyama vyote vya siasa. ziwe nzuri au mbaya.. ""Asante Mdau wetu""

23/08/2015

Wazee waangalie kuhusu mpira wa cha ndimu maana watapigwa ndobo na kanzu kwa wingi " Nyerere

23/08/2015

MKUTANO WA CCM wa kuzindua kampeni zao za uchaguzi mkuu bado unaendelea katika viwanja vya jangwani.. Msijali kuna Amani maana Wachawi wote wameshaondoka "JM Kikwete""

12/08/2015

Mngependa tupigie campaign chama gani kati ya vyama hivi ambavyo vipo hapa Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu???? Majibu yenu ndiyo yatakayotuongoza kwaiyo tunaomba ushilikiano wenu na tuna ahidi tutaweka mazuri na mabaya kuhusu icho chama mtakachokipendekeza

16/07/2015

tegemeeni mambo mapya na mazuri kutoka kwetu, wageni karibuni sana

27/03/2015

Team Vilaza, Team Waiba kura na Team wababaishaji.... eti kweli hawa wataleta maendeleo ya wanafunzi CBE???????

27/03/2015

wakati bado tunasubili matokeo ya cbe.... nini mtazamo wako???

Photos 22/03/2015

This is our Slogan......New Leader, New Vision and New Direction

Photos 15/03/2015

Mr.vice president and Mr.president watalajiwa wakionyesha form walizochukua kwa ajili ya kugombea nafasi cobeso ili kuiboresha cbe,,

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Ilala
Dar Es Salaam