29/05/2026
Usikose kufuatilia Makala Maalum inayoangazia matukio yaliyojiri katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Mkoani Njombe.
OSHA ni Wakala wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu).
Taasisi hii ina wajibu wa kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusabisha magonjwa na ajali. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa kazi ( OSHA) ilianzishwa inchini mwaka 2001 chini ya Sheria Na. 30 ya Wakala wa Serikali ya mwaka 1997 k**a sehemu ya Mpango wa Maboresho katika utoaji wa Huduma za Serikali kwa wananchi. Makusudi ya kuanzishwa kwa OS
29/05/2026
Usikose kufuatilia Makala Maalum inayoangazia matukio yaliyojiri katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Mkoani Njombe.
26/05/2026
Tunawatakia Sikukuu njema ya Eid Al Adha, wadau wetu.
26/05/2026
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, akiwasilisha hotuba yake ya uzinduzi wa Bodi ya 7 ya OSHA.
26/05/2026
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya 7 ya OSHA.
26/05/2026
3
Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Bw. Makwaia Makani, akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wajumbe wenzake katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika Ofisi za OSHA Jijini Dar es Salaam.
26/05/2026
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Zuhura Yunus, akimkaribisha, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya 7 ya OSHA.
26/05/2026
Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akitoa ufafanuzi kuhusu aina ya vitendea kazi vilivyoandaliwa kwa ajili ya Wajumbe Wapya wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya 7 ya OSHA. Miongoni mwa vitendea kazi hivyo ni pamoja na Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Taasisi ya OSHA, Kitabu cha Sheria na Vifaa Kinga (PPEs).
26/05/2026
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, meza kuu na Menejimenti ya OSHA wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya 7 ya Ushauri ya OSHA.
26/05/2026
Wajumbe wa Bodi ya 7 ya Ushauri ya OSHA wakikabidhiwa vitendea kazi na Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo iliyofanyika katika Ofisi za OSHA Jijini Dar es Salaam Mei 25, 2026.
| Monday | 08:00 - 15:30 |
| Tuesday | 09:00 - 15:30 |
| Wednesday | 08:00 - 15:30 |
| Thursday | 08:00 - 15:30 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |