05/12/2016
Kila kitu ni wazo na jitihada. Nikiangalia video hii ya vikundi vya ngoma za Utamaduni wilayani Handeni, mkoani Tanga mwaka 2013 najikuta nashawishika kufanya vitu vipya zaidi ya hivi. K**a wewe hujaona uhondo huu, ingia ujionee burudani za ngoma za Kizigua...
Tamasha la Handeni Kwetu 2013 Tamasha la Utamaduni, wilayani Handeni, mkoani Tanga, limefanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2013 katika Uwanja wa Azimio, wilayani humo, chini ya Mratibu Mkuu...
