IGCRL yatua SGR
Tanzania Railways Corporation
Tanzania Railways Corporation(TRC) is a state corporation created with the core mandate of providing Ukurasa rasmi wa Facebook wa Shirika la Reli Tanzania.
Shirika linalotoa huduma ya Usafiri wa abiria na mizigo na kusimamia miundombinu ya Reli Tanzania.
12/05/2026
PORT LINK YAKAMILIKA KWA 99.7%
Kukamilika kwa PORT LINK na treni ya mizigo ya SGR kufika eneo la Malindi bandarini kuna maana kubwa kiuchumi na kimkakati kwa Tanzania:
Sasa mizigo inaweza kusafirishwa moja kwa moja kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda mikoa ya ndani na nje ya Nchi.
Upakuaji na upakizaji wa makontena bandarini utakuwa wa haraka zaidi kwa sababu treni itaingia moja kwa moja ndani ya mfumo wa bandari.
TRC kufanya majaribio ya treni ya mizigo ya SGR ( PORT LINK) kati ya Pugu na Malindi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Railway Street
Dar Es Salaam
P.OBOX76959
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:30 |
| Tuesday | 08:00 - 16:30 |
| Wednesday | 08:00 - 16:30 |
| Thursday | 08:00 - 16:30 |
| Friday | 08:00 - 16:30 |
| Saturday | 08:00 - 12:30 |
