29/01/2023
We still have a long way to go.
Wadogo zetu mmejitahidi lakini bado.
Education is a corner stone of our daily life
29/01/2023
We still have a long way to go.
Wadogo zetu mmejitahidi lakini bado.
24/06/2019
Habari, napenda kuchukua nafasi hiii kwa wanagroup la minazini sec kua.
Nasikitika kuwapa taarifa ya kifo cha aliekua mwanafunzi mwenzetu kuanzia 2011-2014 ambae pia alikua head boy mwaka 2013-2014, kwa majina anaitwa HELMAN LEONARD MATINDIKO, kilichotokea ucku wa tarehe 24/6/2019 amefariki ghafra kwa ugonjwa wa tumbo.
Msiba upo charambe magengeni lakni maziko yatafanyika katika makabuli ya SAKU.
HIVYO bas ukiwa k**a ndugu/jamaa/rafki unaombwa kufka kuhuzulia cku ya tarehe 25/6/2019 ambayo ni cku ya mazishi.
Kwa taarifa zaid piga cm namba 0718931900
By ramadhani mabula discpline prefect 2013-2014
25/05/2019
Page imekaa mda mrefu bila ya kiongozi hivyo natoa nafasi mbili kwa wanao hitaji kua viongoz wa page hii.
1.Awe mwanafunzi(Ajamaliza)
2.Awe mwanafunzi(haijalishi k**aliza au hajamaliza)
Goodmorning guys.....!!
Kumekuwa na badiliko la tarehe ya sherehe yetu kutokana na Sababu zilizo nje ya uwezo wetu
Sherehe hiyo itafanyika tarehe 21/10/2017 na sio 19/10/2016
Karibuni sana wahenga wote
K**a kawaida wacliana na Masoud ujue utaratibu.
Wazima wote?
Nachukua nafasi hii kwa niaba ya uongozi wa shule kuwakaribisha wanafunzi wote mliohitimu kdt cha nne ktk shule ya sekondari minazini kuanzia 2010--2016 ktk mahafali ya 8 ya kidato cha nne itakayofanyika tarehe 19/10/2017 cku hiyo itakuwa ya pekee sana kwa sababu tutasherehekea miaka 10 ya Minazini secondari tangu kuanzishwa.Kujua mchakato mzima jinsi ya kushiriki wasiliana na kaka mkuu wa pili Masoud Kigumi (2011)karibuni sana.Tunawapenda sana kamwe hatuwezi kuwasahau.
25/09/2017
Mama yetu mwanzilishi wa shule hongera mama Mbunde bado tunaikumbuka kazi yako
09/04/2017
02/02/2017
😈😈😈
Click hii link hapa chini kupata matokeo ya kidato cha nne 2016 kwa shule ya Minazini Secondary school