ADC

ADC

Share

Dira ya Mabadiliko

Photos from ADC's post 29/10/2025

MGOMBEA URAISI KUPITIA CHAMA CHA ADC HAMAD RASHID MOHAMED AKIWA KATIKA ZOEZI LA KUPIGA KURA SHULE YA SEKONDARI FIDEL CASTRO PEMBA

Photos from ADC's post 06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la BUBUBU, Mtaa wa Kijichi magengeni

Photos from ADC's post 06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na watu wenye ulemavu akiwa KATIKA ofisi za chama zilizopo kisiwa Cha Unguja

Photos from ADC's post 06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la kojani mkoa wa kaskazini Pemba

Photos from ADC's post 30/09/2025

Mgombea urais kupitia chama cha ADC, Nd. Hamad Mohamed Rashid, alipata fursa ya kumtembelea na kujumuika na mke wa marehemu Abbas Ali Hassan Mwinyi. Ziara hii imelenga kuendeleza mshikamano wa kifamilia, heshima na mshikamano wa kijamii.

25/09/2025

MGOMBEA URAISI KUPITIA ADC AAHIDI KUBORESHA KILIMO KATIKA UONGOZI WAKE

19/09/2025

Mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed mgombea kiti Cha Rais wa SMZ kupitia chama Cha ADC - Dira ya Mabadiliko 2025 - 2030

18/08/2025

Mwenyekiti Taifa wa ADC Mhe. Shabani Haji Itutu akizungumza katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa kitaifa wa Vyama vya Siasa leo katika Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

14/08/2025

Vipaumbele vyetu Wana ADC;
1. Elimu Bure kutoa chekechea hadi chuo kikuu ikiambatana na kufuta madeni ya wahitimu wa vyuo vikuu wanayokatwa kutokana na mikopo ya elimu ya juu kwani Taifa linategemea taaluma zao katika kujenga nchi.
2. Afya bure
3. Kuunganisha umeme na maji Bure n.k
4. Child support grants (Fao la familia)

14/08/2025

Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Wilson Elias Mulumbe na Makamu wa Rais Mhe. Shoka Khamis Juma kupitia chama chetu cha ADC amechukua fomu ya kuomba ridhaa hiyo leo ofisi za Makao Makuu ya Tume INEC Njedengwa jijini Dodoma.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Buguruni ADC HQ
Dar Es Salaam
17

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00