13/10/2025
Sobai
kusambaza upendo KWA watu wote ili kuwa NA nguvu moja ya kuleta maendeleo endelevu
13/10/2025
Sobai
22/04/2022
Aliwahi kuwa Kondakta wa Magari kisha akasoma kwa Uchungu hata akapata nafasi ya Kusoma Chuo Kikuu Makerere na Uingereza na kuhitimu wa kwanza.
Akashiriki kuandaa katiba ya Kwanza ya Kenya. Mwanasiasa Mkongwe, Rais wa 3 wa Kenya, Mwai Kibaki amefariki leo akiwa na Miaka 90.
R.I.P mwambaaa
HABARI NDUGU ZANGU