Export Processing Zones Authority

Export Processing Zones Authority

Share

Official page For Export Processing Zone Authority. An Autonomous Government Agency Operating under the Ministry of Industry and Trade

19/06/2025

EPZA yaalika wawekezaji wa Madini kutumia huduma zake.

Mamlaka ya EPZ imeshiriki katika Jukwa la Madini Tanzania lililofanyika jijini Mwanza kati ya Tarehe 15-16 Juni 2025.
Jukwaa hili lilioandaliwa na Wizara ya Madini lilihusisha wadau wa Madini Tanzania nzima zaidi ya 400 wakiwemo wachimbaji wadogo, kati na wakubwa, pia limehusisha wasindikaji wa madini katika ngazi mbalimbali. Pamoja na washiriki hao, viongozi mbalimbali walikuwemo ikiwa ni pamoja na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wafanyabiashara na Wananchi wa Kawaida.
Akizungumza katika kilele cha jukwaa hilo mgeni rasmi Mhe. Anthony Mavunde (MB) aliwapongeza wadau wa madini na kuwajulisha kuwa mpaka sasa Serikali imekwisha ingiza pato la zaidi ya Bilioni 900, na kufikia mwisho wa mwaka huu mategeo ni kuingiza zaidi ya Trilioni 1.
Aidha katika jukwaa hilo, EPZA ilipata fursa ya kutoa wasilisho ambapo miongoni mwa mambo yaliyowasilishwa ni pamoja na kuonyesha fursa mbalimbali za uwekezaji pamoja na vivutio vya kikodi na visivyo vya kikodi ambavyo wadau hao wanaweza kuvipata endapo watatumia leseni za EPZA.
Vivutio hivyo ni Sehemu ya hamasa ambayo Serikali inaitoa ili kuhakikisha kuwa gharama za uzalishaji katika viwanda vya ndani zinashuka ili kusaidia viwanda kuongeza ushindani katika soko la dunia na hivyo kupelekea kuchochea kukua kwa sekta ya Viwanda nchini.

Pamoja na mambo mengine, EPZA imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano maalum kwa ajili ya wadau wa mbalimbali ili kuendelea kutimiza malengo ya nchi katika kufikia Tanzania ya Viwanda.

Photos from Export Processing Zones Authority's post 18/06/2025

Mamlaka ya EPZ imeshiriki katika Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma 2025 yanayofanyika Kitaifa Jijini Dodoma.
Akifanya uzindizu wa Maadhimisho hayo mapema Jana 17/06/2025,. Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amebainisha maadhimisho hayo ni kutambua mchango na umuhimu wa Utumishi wa Umma katika kuleta maendeleo.
Maadhimisho haya ni matokeo ya makubaliano ya Nchi wanachama wa Afrika katika mkutano wa mwaka 1994 nchini Morocco.
Akisisitiza kauli mbiu ya maadhimisho hayo "Himiza Matumiz ya Mifumo ya kidigiti ili kuongeza upatikanaji wa taarifa na kuchagiza uwajibikaji".
Amesema ni vyema taasisi zijikite katika kutumia mifumo ya TEHAMA na mifumo hiyo inapaswa kusomana ili kurahisisha utoaji wa huduma.
Mamlaka katika kuendeleza juhudi za kurahisisha mazingira ya uwekezaji na kutoa huduma, imezindua mfumo wake wa kidigiti ambao unamwezesha mtumiaji kufanya maombi popote alipo. Mfumo wa EPZA Business Facilitation Portal, unamwezesha mtumiaji kujihudumia popote alipo kwa kupata uwezeshaji katika uwekezaji wa programu za EPZ na SEZ

Photos from Export Processing Zones Authority's post 16/06/2025

Leo tarehe 16 Juni 2025, EPZA inashiriki katika Kongamano la Uwekezaji Zanzibar 2025 linalofanyika katika eneo maalum la kiuchumi Micheweni Pemba Special Economic Zone. Kongamano hili linaongozwa na Mhe Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi na linahudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwepo wawekezaji wa ndani na nje na linafanyika katika eneo hili kwa lengo la kuifungua Pemba kiuwekezaji na kuvutia uwekezaji eneo la Micheweni SEZ. Kutokana na hadhira hii EPZA inatumia fursa hii muhimu kukutana na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye EPZ na SEZ na kutoa taarifa kuhusu fursa za uwekezaji chini ya EPZA na kuwaalika kuwekeza chini ya EPZA.

07/06/2025
Photos from Export Processing Zones Authority's post 26/05/2025

On 22 may 2025, we had the honor of receiving a high-level delegation from Dishang Group of China, accompanied by EACLC Limited. The delegation included senior executives and representatives from various organizations, led by
Liu Yonggong – Director and Deputy General Manager of Dishang Group as a head of delegation.
During the visit, the delegation was given a special presentation by Ms. Nakadongo, the Investment and Promotion Manager at the Export Processing Zones Authority (EPZA). The presentation focused on the role of EPZA and the wide range of investment opportunities available through the Authority.

In addition, the delegation visited the Tooku Garments factory, and Bagamoyo Special Economic Zones where they observed the various stages of garment production, from initial processing to the final packaging stage. The visit was highly successful and has opened up potential avenues for investment collaboration between Tanzania and these international companies.

Photos from Export Processing Zones Authority's post 23/05/2025

The delegation of the Republic of Mozambique, arrived at EPZA to learn and share experience on various aspects related to the industrial sector development.

The mission, led by the Minister of Economy of the Republic of Mozambique, Hon. Basilio Muhate, aimed to find out how Mozambique can learn from Tanzania in various fields including the management of Special Economic Zones where Tanzania has so far been largely successful and therefore it is time for their country to gain experience in order to fulfill their ambition of improving the industrial sector and achieve rapid development.

Addressing the meeting, the Director of Corporate Services, CPA. John Mwakasege, said that EPZA will continue in its goals of attracting various projects where the amount of US $ 3.5 has been understood, where the country's sales have currently reached approximately US $ 2.5 and approximately 260,000 people have been directly or indirectly employed in EPZA factories.

Addressing the meeting, the Director of Corporate Services, CPA. John Mwakasege, said that EPZA will continue to collaborate with the Mozambican Investment Institutions as these countries have similar goals. Also in the discussion, CPA. Mwakasege said that through EPZA, Tanzania has already started to reap the fruits as so far the amount of US$ 3.5 has been invested by the private sector, where the country's sales have currently reached about US$ 2.5 and about 260,000 people have been directly or indirectly employed in EPZA factories.

Photos from Export Processing Zones Authority's post 01/05/2025
26/04/2025

Happy union day

17/04/2025

EPZA

11/11/2024

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa EPZA; tunatoa pole kwa Familia, Tume ya Mipango na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwa kuondokewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence N. Mafuru.
Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar Es Salaam