Majemedari Ministry

Majemedari Ministry

Share

Huduma ya Kiroho ya Majemedari wa Ufalme wa Mbinguni. (Kingdom of GOD Generals Ministry)

Huduma ya Kiroho kwa woote wenye kulemewa na mizigo, njoo ukutane na Yesu

07/07/2022

Samahanini wapendwa wafuasi wa Ukurasa wa Majemedari Ministry, kwa wiki kadhaa zilizopita kuna mtu amehack page yetu hii halafu bila hofu ya Mungu wala aibu anapost uchafu uliojaa kichwani mwake.

Wewe ufanyaye hayo kabla hatujakulaani ukafa kabla ya wakati wako acha upumbavu unaoufanya mara moja na MUNGU akurehemu kwa upuuzi huo.

09/06/2018

Tangia kutoweka MASOGANGE duniani, kumekuwa na mfululizo wa vijana wadogo weengi kututoka duniani, na vijana hao walikuwa na mengi ambayo wangeweza kuyafanya kwa utukufu wa MUNGU BABA hapa duniani.
Wito wangu kwa vijana wote mlio hai ni kwamba SHETANI kwa wakati huu anapenda kuvuna vijana wadogo wasiofahamika na wanaofahamika k**a huyu aliyefariki juzi kijana Sam wa Ukweli, hebu tathmini ni vijana wangapi wametutoka, huo sio mpango wa MUNGU kuondoa vijana wadogo, ni mpango wa SHETANI Kabisaaa.
Hebu tuutafute usalama wa KIROHO, tuutafute uso wa Kibali cha miaka mingi ya kuishi mpaka uzeeni hapa duniani, tujiweke katika mwamba ulio salama ili tuishi miaka mingi chini ya jua, na mwamba huu salama ni YESU KRISTO pekee.
Mpokee YESU sasa uwe salama!
Sema Aamen! Kisha chukua hatua!

****** ::::::::: ******
KUHANI ZANGINA
MCHUNGAJI
MAJEMEDARI MINISTRY
KWEMBE, MBEZI
PHONE: 0713 906 145

Photos from Majemedari Ministry's post 06/02/2015

HOSPITALI YA AMANA(ILALA) TUMEWAFIKIA:
================================
J'pili za tarehe 17 & 24 Januari 2015, wana MAJEMEDARI MINISTRY tuliwafikia kwa zawadi na maombezi wagonjwa waliokuwa wamelazwa hospitali ya Amana(Ilala) ambapo Bwana alifanya maajabu kwa mgonjwa wa ajali kupona bila upasuaji, kisha kuwapa tumaini wengineo waliokuwa wamekata tamaa ya kupona, na sasa wanatupigia simu wakishuhudia uponyaji wa Mungu.
**Hakika Mungu wetu anatenda hata sasa**

AMANA HOSPITAL(ILALA) OUTREACHED:
================================
The Sundays on the 17th & 24th Jan 2015, MAJEMEDARI MINISTRY members outreached the patients at Amana hospital(Ilala) with gifts & prayers whereby the Lord made wonders to an accident patient getting healed without an operation, then gave hope to others who had given up on healing, now they are calling us testifying God's healing.
** Surely, Our God works hitherto **

Photos from Majemedari Ministry's post 16/01/2015

HOSPITALI YA PLAN(BUGURUNI) TUMEWAFIKIA:
===================================
Hakika Jmosi ya tarehe 10/01/2015 iliwadia na wana MAJEMEDARI MINISTRY tuliwafikia wagonjwa waliokuwapo Hospitali ya PLAN Buguruni D'salaam. Tulitoa zawadi na kufanya maombezi kwa wazazi waliojifungua, wajawazito & wagonjwa waliofika kutibiwa siku hiyo. Zoezi lilienda vema na kuwapa faraja/kuwaponya wagonjwa, wauguzi waliifurahia mno huduma yetu. Tunatembea ktk neno la msingi Mathayo 25:42-45.
* Sifa & Utukufu kwa Mungu atuwezeshaye *

PLAN HOSPITAL(BUGURUNI) OUTREACHED:
===================================
Surely, the Saturday of 10/01/2015 came to pass & MAJEMEDARI MINISTRY members outreached(visited) the sick in the PLAN Hospital at Buguruni D'salaam. We gave gifts & prayed for the birthing parents, the pregnant & the sick who showed up for treatment that day. The exercise went on well & comforted/healed the sick, the nurses got overjoyed by our Ministry. We walk by the basic Word on Mathew 25:42-45.
** Praises & Glory to God who enables us **

Photos from Majemedari Ministry's post 11/01/2015

NDEGE KWENDA & KUTOKA KATAVI KWA HUDUMA:
=================================
Wiki ya Noeli na mwaka mpya wa 2015, sio tu tulitembelea Vituo vya Afya vya Katavi, bali pia tulihudumia makanisa madogo ya Kiroho yaliyopo Kibaoni mkoa wa Katavi. Siku ya Noeli Kuhani Zangina alitoa neno kwa ufupi ktk hafla iliyoandaliwa na Mh Waziri Mkuu kijiji cha Kibaoni. Kisha baada ya hapo ulifuata mfululizo wa huduma ya Semina ya Neno la Mungu kwa makanisa machanga ya Kiroho ambapo kwayo yaliimarika Kiroho na watu weengi walimpokea Kristo. Hakika watu walimuona Roho akitenda kazi na ishara za uponyaji & kufunguliwa pia vilidhihirika kwao.
** Sifa na Utukufu zimwendee Mungu Baba **

A FLIGHT TO & FRO KATAVI FOR MINISTRY:
===================================
The Christmas & the New Year's week, not only that we visited the Health Centres but also we ministered to the small spiritual churches found in Kibaoni village within Katavi region. On the day of Christmas Priest Zangina gave a short Word of God to a Ceremony that was prepared by Hon The Prime Minister in Kibaoni village. Thereafter followed a series of ministeries of Seminars for the Word of God to young upcoming Spiritual churches which inturn got Spiritually stabilized & many people received Christ. Surely, people saw the Holly Ghost at work and the signs of healing & deliverance manifested to them.
******* Praise & Glory be to Father God *******

Photos from Majemedari Ministry's post 05/01/2015

KITUO CHA AFYA MAMBA (KATAVI) TUMEWAFIKIA:
(Tulikuta mwanakijiji ameuwawa kwa radi)
=============================
J'mosi ya tar 03/01/2015 ktk kijiji cha Mamba Wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi, wana MAJEMEDARI MINISTRY tulitembelea wagonjwa waliolazwa Kituo Cha Afya cha Mamba ili kuwaombea na kuwapatia zawadi za mwaka mpya wagonjwa ktk wodi za Wanaume, Watoto, Wanawake wajawazito na waliojifungua. Ktk wodi ya Wanaume tulikuta kijana mmoja amekwishafariki, na pia Daktari Matete alitupeleka kuuona mwili wa kijana mwingine Nkinga ambaye alikuwa ameuwawa kwa radi ktk mvua zilizonyesha siku hiyo punde kabla hatujawasili. Tuliwakuta wanakijiji weengi nyumbani kwa Marehemu tukawapa pole, kuwafariji na kuwaombea. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Ziara hii nayo iliwezeshwa na Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa moyo wa upendo.
**Jina la Bwana na libarikiwe na tuseme Amina**

MAMBA HEALTH CENTRE OUTREACHED:
(We found a villager killed by thunder)
================================
On Saturday the 03/01/2015 in the village of Mamba within Mpanda ward in the Katavi region, MAJEMEDARI MINISTRY members visited the patients admitted in Mamba Health Centre so as to pray & give New Year gifts to patients in Men, Children, Pregnant & Birthing Mothers wards. In the Men's ward we found a youth who had already passed away, & also Dr Matete took us to see a body of another youth named Nkinga who was killed by thunder that struck during that day's rains a moment before our arrival. We found many villagers at the dead man's house & we gave our condolences, comforted and prayed for them all. The Lord has given & the Lord has taken. This visit was also enabled by Hon Prime Minister Mizengo Pinda with a loving heart.
*Blessed be the Lord's name & let us say Amen*

Photos from Majemedari Ministry's post 05/01/2015

KITUO CHA AFYA USEVYA(KATAVI) TUMEWAFIKIA:
=============================
Ndani ya kijiji cha Kibaoni ktk Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, Jmosi ya tar 27/12/2014 wana MAJEMEDARI MINISTRY tulitembelea wagonjwa waliolazwa Kituo Cha Afya Usevya na kuwapatia zawadi za Xmas na kuwafanyia maombezi. Tulikaribishwa na Daktari Mtawa & Diwani Lakihosi waliotutembeza ktk wodi za watoto, wamama wajawazito na waliojifungua.
Pia tuliwaombea na kuwapa zawadi za Xmas wauguzi, walifurahi na kupata nguvu mpya. Zoezi loote liliwezeshwa na Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
**Mungu Baba Yetu na Atukuzwe kwa yote**

USEVYA HEALTH CENTRE OUTREACHED:
==================================
In the village of Kibaoni within Mlele ward in the Katavi region, On Saturday the 27/12/2014, MAJEMEDARI MINISTRY members visited the patients admitted in Usevya Health Centre where we gave them Xmas gifts & prayed for them. We were received by Dr Mtawa & Councilor Lakihosi who took us to Children's, Pregnant & Bathing women's wards. We also prayed for & gave Xmas gifts to nurses, they were happy & achieved new strength.
**Let God our Father be Glorified for all this**

Photos from Majemedari Ministry's post 21/12/2014

MUHIMBILI HOSPITALI TUMEWAFIKIA:
===============================
Hatimaye tarehe 20/12/2014 iliwadia na wana MAJEMEDARI MINISTRY tuliwafikia wagonjwa wa Muhimbili kwa kutembelea wodi ya watoto(NPC) ambayo ina watoto waliolazwa zaidi ya 500. Tuliingia section za magonjwa mbalimbali k**a moyo, utapia mlo, kuharisha na magonjwa ya Cancer na kuwaombea pamoja na kuwapa zawadi. Kuna mmoja wa watoto alikutwa akikata roho lakini aliwekewa mikono na Kuhani Zangina na kujikuta akipata uhai tena kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Walezi walifurahi kwa huduma yetu na Mungu Baba alitukuzwa!

MUHIMBILI HOSPITAL OUTREACHED:
==============================
Finally, on the 20/12/2014 the MAJEMEDARI MINISTRY team reached the patients at Muhimbili Hospital whereby visiting the Children's ward which has more than 500 admitted children. We entered sections of different diseases like Heart disease, Malnutrition, Diarrhoea 'n Cancer and prayed for the sick then handed out gifts. There was one of the Children who was found dieing but Priest Zangina put hands unto it n found itself breathin once again by the power of the Holly Spirit. Guardians/care takers were overwhelmed by our Ministry n Father God was exalted. GLORY BE TO GOD ALWAYS!

Photos from Majemedari Ministry's post 20/12/2014

KUHANI ZANGINA NDANI YA KANISA LA AKUZAMU:
Alhamisi ya tarehe 18/12/2014 Kuhani Zangina S Zangina alishiriki Semina ya Wanandoa ktk kanisa la AKUZAMU Posta na kuwahudumia watu kwa wimbo wa Shangwe ya Kristo uitwao "Yesu Yupo". BARIKIWA!

PRIEST ZANGINA IN AKUZAMU CHURCH:
On Thursday the 18/12/2014, Priest Zangina S Zangina participated in the Married Couples Seminar n Ministered with the Joy of Christ his song titled "Yesu Yupo" which means "Christ is here". BE BLESSED!

Photos from Majemedari Ministry's post 17/12/2014

MUHIMBILI HOSPITALI TUNAKUJA:
Team ya wana MAJEMEDARI MINISTRY inatarajia kutembelea wagonjwa waliopo ktk wodi za hospitali ya Muhimbili jmosi hii ya tar 20/12/2014 saa 6 mchana ili kugawa zawadi na kufanya maombi kwa wagonjwa na waliolemewa
Mtu yeyote anakaribishwa kuungana nasi na hata kutoa michango ya fedha, piga 0713906145

MUHIMBILI HOSPITAL, WE 'R COMING:
MAJEMEDARI MINISTRY members team is expected to visit the patients at Muhimbili hospital wards on this Saturday the 20/12/2014 at exactly 12 pm noon to give out gifts and conduct prayers for the sick n the needy.
Anyone is welcomed to join us in participation n financial contribution, call +255 713 906 145.

Photos from Majemedari Ministry's post 16/12/2014

MWANANYAMALA HOSPITALI TUMEWAFIKIA
====================================
Jumapili ya tar 14/12/2014 team ya wana MAJEMEDARI MINISTRY wakiongozwa na Kuhani Zangina S Zangina walitembelea wagonjwa wa Mwananyamala Hospitali na kuwapatia zawadi za juice za embe kisha kuwafanyia maombi kwa wodi za watoto, waathiriki wa VVU, wazazi waliojifungua na wagonjwa wengineo ambao walifarijika saana na kujikuta wakipata nafuu ya roho na mwili. Madaktari na wauguzi walishukuru sana & kuwakaribisha tena.
**Utukufu na Heshima ni kwa Mungu Baba**

MWANANYAMALA HOSPITAL OUTREACHED:
===================================
On Sunday the 14/12/2014, the team of MAJEMEDARI MINISTRY under Priest Zangina S Zangina visited the patients at Mwananyamala Hospital and gave them gifts of Mango juice then prayed for them in the wards of Children, HIV patients, Birthing Mothers and others whom got comforted then finding themselves getting better spiritually 'n physically. The doctors 'n the nurses were very thankful & welcomed the team once again.
****Glory 'n Honour be to God our Father****

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam