Ccmtemekemedia

Directions

Ccmtemekemedia UKURASA RASMI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TEMEKE

ZIMEBAKI SIKU 2 TU! ⏳⚡​Chama Cha Mapinduzi (W) Temeke kinakualika katika tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Kituo cha Ku...
20/08/2026

ZIMEBAKI SIKU 2 TU! ⏳⚡
​Chama Cha Mapinduzi (W) Temeke kinakualika katika tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP).

​Huu ni ushuhuda wa kazi kubwa na ya mfano inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi Mahiri wa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.

​🗓 Tarehe: Jumamosi, 22 Agosti 2026
⏰ Muda: Saa 2:00 Asubuhi
📍 Mahali: Rufiji - Pwani

​Tukutane Rufiji kushuhudia hatua hii kubwa ya maendeleo na matokeo ya Kazi na Utu!

​

Tukutane Rufiji! 🔥​Uzinduzi wa mradi mkubwa wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uko tayari. CCM Wilaya ya Temeke ikiwa ch...
20/08/2026

Tukutane Rufiji! 🔥

​Uzinduzi wa mradi mkubwa wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uko tayari. CCM Wilaya ya Temeke ikiwa chini ya Mwenyekiti Ndugu Zena Mgaya, tutakuwepo kushuhudia hatua hii kubwa ya maendeleo ya nchi yetu.

​Tukutane, Rufiji - Pwani!

​📅 Jumamosi (22-08-2026) | ⏰ Saa 2:00 Asubuhi

​

Tukutane Rufiji! 🔥​Uzinduzi wa mradi mkubwa wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uko tayari. CCM Wilaya ya Temeke ikiwa ch...
20/08/2026

Tukutane Rufiji! 🔥

​Uzinduzi wa mradi mkubwa wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uko tayari. CCM Wilaya ya Temeke ikiwa chini ya Mwenyekiti Ndugu Zena Mgaya, tutakuwepo kushuhudia hatua hii kubwa ya maendeleo ya nchi yetu.

​Tukutane, Rufiji - Pwani!

​📅 Jumamosi (22-08-2026) | ⏰ Saa 2:00 Asubuhi

​

⚡ TUKUTANE RUFIJI! ⚡​Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke kinawakaribisha wanachama wote na wananchi kwa ujumla kushuhud...
20/08/2026

⚡ TUKUTANE RUFIJI! ⚡

​Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke kinawakaribisha wanachama wote na wananchi kwa ujumla kushuhudia hatua kubwa ya kihistoria katika nchi wetu
- Uzinduzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP).

​🗓 Siku: Jumamosi, Tarehe 22-08-2026
⏰ Muda: Saa 2:00 Asubuhi
📍 Mahali: Rufiji - Pwani
​Kazi na Utu, Tunasonga Mbele! 💪🏾⚡

Utekelezaji wa Ilani na Usimamizi wa Huduma za Kijamii Temeke 📝🟢​📍 Ofisi ya CCM (W) Temeke🗓️ 19/08/2026​Katibu wa CCM (W...
20/08/2026

Utekelezaji wa Ilani na Usimamizi wa Huduma za Kijamii Temeke 📝🟢

​📍 Ofisi ya CCM (W) Temeke
🗓️ 19/08/2026

​Katibu wa CCM (W) Temeke, Ndugu Daniel George Sayi, amekutana na Kamati ya Huduma za Kijamii ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kwa ajili ya kikao maalum cha kazi kilichofanyika Ofisi ya CCM Wilaya.

​Mkutano huu unalenga kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi na huduma za kijamii kwa ustawi wa wananchi wa Temeke.

​

KUTATUA KERO ZA WANANCHI: CCM TEMEKE YASIMAMA NA WANANCHI WA MBANDE-MAGENGENI​Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Ndugu ...
19/08/2026

KUTATUA KERO ZA WANANCHI: CCM TEMEKE YASIMAMA NA WANANCHI WA MBANDE-MAGENGENI

​Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Ndugu Zena Mgaya, ameshiriki katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika eneo la Mbande-Magengeni, Kata ya Chamazi.
​Mkutano huo umeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kukagua miradi na kusikiliza kero za wananchi wa Wilaya ya Temeke leo Tarehe 18 Agosti 2026.

​Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa Ilani na kuhakikisha sauti na kero za wananchi zinasikilizwa na kupatiwa majawabu ya haraka.

​


KUTATUA KERO ZA WANANCHI: CCM TEMEKE YASIMAMA NA WANANCHI WA TOANGOMA​Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Ndugu Zena Mga...
19/08/2026

KUTATUA KERO ZA WANANCHI: CCM TEMEKE YASIMAMA NA WANANCHI WA TOANGOMA

​Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Ndugu Zena Mgaya, ameshiriki kikamilifu katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

​Katika ziara hiyo iliyofanyika leo Tarehe 18 Agosti 2026 katika Kata ya Toangoma, viongozi hao wameketi na wananchi pamoja na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kupata suluhu ya kudumu kuhusu mgogoro wa ardhi unaowakabili wananchi wa eneo hilo.

​Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa Ilani na kuhakikisha haki, amani, na maendeleo ya wana-Temeke yanatunzwa na kulindwa wakati wote.
​




ZIARA YA MKUU WA MKOA TEMEKE: USHIRIKIANO WENYE MATOKEO CHANYA!​Mwenyekiti wa CCM (W) Temeke, Ndugu Zena Mgaya, amemshuk...
19/08/2026

ZIARA YA MKUU WA MKOA TEMEKE: USHIRIKIANO WENYE MATOKEO CHANYA!

​Mwenyekiti wa CCM (W) Temeke, Ndugu Zena Mgaya, amemshukuru na kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, kwa kufanya ziara ya kikazi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Temeke.

​Ziara hii imelenga kujionea utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara za Toangoma na Kibondemaji, maeneo ya maegesho, pamoja na kusikiliza kero za wananchi moja kwa moja.

​Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke kinaendelea kuunga mkono juhudi hizi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo ya kweli.

​

KURASINI: HATUA ZA HARAKA CHUKULIWA DHIDI YA KERO YA MAROLI! 🛑🚛​Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ak...
19/08/2026

KURASINI: HATUA ZA HARAKA CHUKULIWA DHIDI YA KERO YA MAROLI! 🛑🚛

​Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, akiwa katika Kata ya Kurasini akishughulikia kero sugu ya maroli yaliyogeuza barabara kuwa maeneo ya maegesho yasiyoruhusiwa na kusababisha msongamano mkubwa kwa wananchi.

​Akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Ndugu Zena Mgaya, pamoja na Kamanda wa Polisi na viongozi wengine wa serikali, Mhe. RC amesisitiza kuchukuliwa kwa hatua za haraka ili kurejesha utaratibu na usalama wa barabarani katika eneo hilo.

​Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kusimamia na kuhakikisha kero zote za wananchi zinapatiwa majawabu ya kudumu!

​


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ccmtemekemedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share