05/07/2025
Tanzania Comoros Trade Forum
Tanzania Comoros Business & Investment Forum
05/07/2025
10/04/2025
Unlocking Trade & Investment Opportunities in Comoros
The Embassy of United Republic of Tanzania in Union of Comoros in collaboration with Tanzania Investment Centre and other respective stakeholders have organized the Tanzania - Comoros Business and Investment Forum which is to be held on 28th April 2025 in Moroni.
The forum will focus on the promotion of Business and Investment opportunities in infrastructure, construction, ICT, and financial Sector.
To participate in the forum register via Link on BIO
Merhaba Menji
02/06/2024
"Tuunge Mkono Juhudi za Mhe Rais Samia” - Balozi Yakubu
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa nchini amekutana na Watanzania wanaoishi nchini Comoro tarehe 2 Juni, 2024 na kuwaasa wawe mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kuitangaza vyema Tanzania katika jumuiya ya kimataifa.
Mheshimiwa Balozi Saidi Yakubu alitumia fursa hiyo kujitambulisha kwa Watanzania na kueleza mikakati yake pamoja na Ubalozi katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.
Alifahamisha kuwa wananchi wa Comoro wana mapenzi na mahusiano ya karibu na Tanzania. Familia nyingi nchini humo zina ndugu zao upande wa Tanzania. Hivyo, Nchi mbili hizi zina wajibu wa msingi kuimarisha ushirikiano ili kulinda na kuendekeza tunu hiyo muhimu.
Aidha, Mheshimiwa Balozi Saidi Yakubu alifahamisha kuwa Ubalozi una wajibu wa msingi kushughulikia masilahi ya Watanzania nchini humo. Alifahamisha kuwa kwa upande wake aliwasihi Watanzania kuunga mikono juhudi za maendeleo nchini Tanzania kwa kuwa Mabalozi wazuri wa Nchi yao, kutangaza fursa zinazopatikana nchini na kuwaunganisha Watanzania na Wakomoro ili watumie manufaa ya ushirikiano wa kindugu na kihistoria uliopo baina ya Nchi hizi mbili.
Nao Watanzania wanaoishi nchini Comoro walimshukuru Mhe. Balozi Saidi Yakubu kwa hekima na uamuzi wa kuwaona siku chache baada ya kuwasili nchini Comoro. Waliahidi kumpatia ushirikiano na kufuata nasaha zake na waliwasilisha changamoto kadhaa na kuomba zizingatiwe wakati wa mikutano na vikao vya mashauriano katika ngazi ya Kiserikali ili ziweze kupatiwa ufumbuzi. Miongoni mwa maeneo hayo ni changamoto ya visa, kukosekana Bima za mizigo, na ukosefu wa usafiri wa uhakika baina ya Nchi hizi mbili.
25/05/2024
Makamu wa Rais Mhe. akipokelewa na Waziri wa Kilimo wa Mhe. Houmed Mssaidie jijini Moroni
Makamu wa Rais amawakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Dkt.
Katika uapisho wa Rais Mteule wa
Azali Assoumani
Balozi wa nchini Comoros alikuwepo pia kumpokea Mheshimiwa Makamu Rais
21/05/2024
Balozi mteule wa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
