24/05/2024
Kissfmtanzania๐ป
Burudani
24/05/2024
Kissfmtanzania๐ป
18/09/2023
Tuna mapenzi makubwa kuliko hisia๐
Take care mchongo somewhere...... ๐
Cool ๐ mchiz u k
30/07/2023
Album
Link his bio Tommy Flavour
30/07/2023
Gym
19/07/2023
30/01/2022
Vyenye mwenye UTU inabidi apeweKumbato.....
Link kwenye bio _utu video.....
๐
29/01/2022
Mirabahaaa kwenye miondoko ya UTU.........
Video bado yamotoooo sana
28/01/2022
Kitu na box video ya kinyama kabisa tubapata utalii pitia video ya UTU ๐๐
Aliyenteee
28/01/2022
Usimpe mtu zawadi ya SAA k**a hujui thamani ya muda wako kwenye maisha yake .......๐ง๐ฑ twende YouTube tukaitazame UTU video by
28/01/2022
Kuna muda sio k**a tunashindwa au atutaki sahau maex zetu au walio tuumiza ..
Ila shida uja pale tunapata watu wapya ambao awazibi lile pengo la wale wa zamani....
Unakuta hata k**a ex anamakosa unaona bora yeye kuliko huyu mpya...
MIMI k**a mjumbe nimepata chaka langu na napewa penzi lisiro na mipaka
28/01/2022
Chaka la moyo wa mwanaume lipo kwa mwanamke akijificha anakuwa mtu wa amani โบ
Umo umoooo
Vijana tutafute sana maisha Mimi sio wa kumuimbia sugar many agodai withi you