Jimbo la mbagala 2015

Jimbo la mbagala 2015

Share

Ukurasa huu ni wachama cha ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT – WAZALENDO). Jimbo la Temeke na Mbagala.

20/07/2025

New look

11/10/2024

Zoezi la uandikishaji linaendeleaje kwenye mtaa na kijiji chako?

Photos from Jimbo la mbagala 2015's post 06/05/2022

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Juma Duni Haji, akiambatana na Katibu Mkuu Ndugu Ado Shaibu na viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzindua Ofisi ya Jimbo na kufanya Kikao na viongozi na Wanachama.




06/05/2022

Bei ya Mafuta imepanda mno, na Serikali nyingi duniani zinapambana kuwalinda Wananchi wake, hapa kwetu Serikali ya CCM imemwachia Mwananchi kubeba mzigo wote wa.

imetoa suluhisho la namna ya kuwalinda wananchi dhidi ya bei kubwa ya mafuta, TAZAMA

06/05/2022

💠 Tume Huru, Katiba Mpya.

Operesheni Tume Huru kuelekea Katiba Mpya yenye maoni ya Wananchi. Ni kesho, Ukumbi wa Aspen Hotel Mwanza 🔥🔥🔥








05/05/2022

💠 ACT Day!!🔥🔥🔥

Mbali na Operesheni Tume Huru kuelekea Katiba Mpya, Mwanza inashuhudia shughuli nyingine ya ACT Wazalendo leo tar. 05/05/2022. Nayo ni Kuzaliwa kwa Chama. Tunasherehekea Miaka 8 ya uwepo wetu.
Tumekuwa Sauti Mbadala!

Jembe FM | Jembe Ni Jembe 05/05/2022

https://www.jembenijembe.com/

Msikilize Katibu Mkuu wa Ado Shaibu Live muda huu Jembe FM Mwanza 🔥 🔥 🔥 🔥

Jembe FM | Jembe Ni Jembe Jembe,jembe habari,jembe fm habari,jembe news,jembe ni jembe habari,habari, yaliojili leo, taarifa ya habari,redio jembe ni jembe,radio jembefm,sikiliza jembe fm online jembe fm 93.7, jembefm mwanza, mwanza 93.7,jembe ni jembe mwanza, jembe media,jembe taarifa, jembe michezo, habari za kitaifa na ki...

05/05/2022

Miaka 8 Toka Kuanzishwa ACT Wazalendo

05/05/2022

Kitaifa inafanyika Jijini Mwanza na viongozi wa chama watafanya media Tour Mwanza.

Kiongozi wa chama Ndugu, Zitto Zuberi Kabwe atakuwa Star TV kuanzia Saa 3:00 Usiku kwenye kipindi cha The Big Agenda.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, Dorothy Semu atakuwa RFA Radio Station kuanzia saa 10:00 Jioni kwenye kipindi cha Mambo Mambo.

Katibu Mkuu wa chama, Ado Shaibu Ado atakuwa JEMBE FM Radio kuanzia Saa 2:00 Asubuhi kwenye kipindi cha MchakaMchaka

Katibu wa Ngome ya Vijana Taifa Ndugu, Mwanaisha Mndeme atakuwa Metro FM Radio kuanzia saa 11:00 Jioni kwenye kipindi cha Evening Drive.

03/05/2022

Mwenyekiti wa ACT WAZALENDO Taifa Ndugu Juma Duni Haji anawatika Waumini na Wananchi wote Eid Mubarak.

Photos from Jimbo la mbagala 2015's post 16/04/2022

Usajili unaendelea... Kata ya Toangoma, Mbagala Dar es salaam
🔥 🔥 🔥


Ingia hapa 👇
https://t.co/xL5eFZj8RL

Pakua kisha Jisajili. Ni rahisi, ya kijanja na yenye kuvutia.



Photos from Jimbo la mbagala 2015's post 16/04/2022

Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Ado Shaibu ameshiriki hafla ya kugawa kadi mpya za Wanachama za Kielektroniki kwa Wanachama wa Kata ya Tuangoma Jimbo la Mbagala.




Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam