14/05/2026
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu huduma za usajili, upatikanaji wa Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN), mabadiliko ya taarifa kwa Watumishi wa Umma na wananchi binafsi pamoja na utaratibu wa kurejeshewa Kitambulisho cha Taifa kilichopotea.
Usikose kufuatilia kipindi hiki cha redio ambapo tutakuwa mubashara kujibu maswali yako na kutoa ufafanuzi kuhusu huduma mbalimbali za NIDA.
Ukiona ujumbe huu, mjulishe na mwenzako. πΉπΏπ

06/05/2026
06/05/2026