*DAR ES SALAAM OYEE*
UVCCM MKOA WA *DSM* Tunawatangazia vijana wote wa mkoa wa Dsm bila kujali itikadi zetu kesho *Alhamis* Tar *27/9/2018* Saa 3:00 Asubuhi Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI* Atakuwa anazindua BARABARA ZA JUU *FLY OVER* TAZARA. Hivyo basi vijana wote Tujitokeze k**a *Wote* katika Eneo la Tazara Katika kuonesha Tunaunga Mkono Juhudi zinazofanywa na Serikali yetu ya Kutekeleza *Ilani ya Uchaguzi ya CCM* KWA VITENDO.
*HAKUNA HAKI BILA WAJIBU*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
UVCCM MKOA WA DAR
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UVCCM MKOA WA DAR, City Hall, DAR-ES-SALAAM, Dar es Salam.
05/09/2018
*UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA WA DSM*
Ziara imeendekea leo *katika jimbo la UKONGA*
Leo tarehe 05/9/2018
Tumezungumza na vijana wenzetu wa kata ya *KITUNDA*
kipekee tuwashukuru kwa kujitoa kwenu kuhakikisha tunashinda *UBUNGE* kwa kishindooo
*Kesho Tar 6/9/2018 tutaongea viongozi wa jumuiya na makundi maalum katika kata ya kipunguni*
*uvccm mkoa wa dsm twende na ukonga,zingiziwa na vingunguti*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
04/09/2018
*UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA WA DSM*
Ziara imeendekea leo *katika jimbo la UKONGA*
Leo tarehe 04/9/2018
Tumezungumza na vijana wenzetu wa kata ya *Pugu Steshen*
kipekee tuwashukuru kwa kujitoa kwenu kuhakikisha tunashinda *UBUNGE* kwa kishindooo
*Kesho Tar 5/9/2018 tutaongea na vijana boda boda Camp na viongozi wa jumuiya kata ya kitunda*
*uvccm mkoa wa dsm twende na ukonga,zingiziwa na vingunguti*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
31/08/2018
*UMOJA WA VIJANA WA CCM MKOA WA DSM*
Ziara imeendekea leo *katika jimbo la UKONGA*
Leo tarehe 30/8/2018
Tumezungumza na vijana wenzetu wa kata ya *ZINGIZIWA*
kipekee tuwashukuru kwa kujitoa kwenu kuhakikisha tunashinda *UDIWANII NA UBUNGE* kwa kishindooo
*uvccm mkoa wa dsm twende ukonga,zingiziwa na vingunguti*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
29/08/2018
*UMOJA WA VIJANA WA CCM (M)DSM*
Leo tarehe 29/8/2018
tumeendelea kuhakikisha *CCM*
inashinda kwa kishindo jimbo la *UKONGA* Tumezungumza na Vijana Wenzetu wa Kata ya *MSONGOLA* Kipekee niwashukuru vijana wa Msongola kwa namna walivyoamua kujitolea kwa maslahi ya chama cha mapinduzi na jumuiya zake.
*HAKIKA* Ukonga ni ya *CCM*
Kesho tarehe 30/8/2018 *Uvccm mkoa Tutakuwa kata ya *Zingiziwa* Tutaongea na vijana wa kata hiyo ili kuhakikisha ccm inashinda kiti cha *Udiwani* wa kata hiyo na kuhakikisha Tunapata kura nyingi za *Mbunge* wa Jimbo la *Ukonga*
*Tukutane Site*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
28/08/2018
*Uvccm Dsm Kumenoga*
Leo tumeendelea kuweka sawa mambo katika kata ya *Vingunguti* Tumezungumza na vijana wenzetu na wameahidi kutupa kura tarehe 16/9/2018 katika kata hiyo ili Ccm ishinde udiwani. Zipo Changamoto zimejitokeza tumezisikia zitatatuliwa.
*KESHO JUMATANO SAA 4:00 ASUBUHI TUTAKUWA KATA MSONGOLA JIMBO LA UKONGA*
*TUKUTANE SITE*
UKONGA NI YA CCM
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SAALAM*
Uzinduzi wa kampeni kwa mgombea wetu wa ccm jimbo LA ukonga ndg *mwita waitara* utafanyika kata ya kivule katika *uwanja wa shule ya msingi kivule* (standi ya mbondole) tar 01/09/2018 siku ya jumamosi kuanzia saa 6 mchana
Shime wanaccm,wana jumuia za chama,viongozi wa chama na jumuia,makada wa ccm na *Wananchi* kwa ujumla tukutane kivule siku hiyo,
Ukifika banana panda gari zinazoenda kivule fremu kumi na *shuka njia panda ya shule*,
*CCM MPYA*
*UKONGA MPYA*
*WAITARA MPYA*
26/08/2018
*UVCCM MKOA DSM*
CHINI YA MWENYEKITI WETU
*M***A KILAKALA* Jana jumamosi Tar 25/8/2018 Aliongea na vijana wa kata ya MBAGARA KUU akiwashukuru kwa maandalizi ya uchaguzi wa Diwani katika kata hiyo. kisha akawataka kwa kuwa walishajiandaa na uchaguzi na CCM imepita bila kupingwa katika kata hiyo. sasa dua zao zote waelekeze maeneo ambayo yana uchaguzi jimbo la ukonga na kata za Vingunguti na Zingiziwa.
*UKONGA NI YA CCM*
TUKUTANE *SITE*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DSM*
24/08/2018
*Leo Nilipata fursa ya kufunga semina ya makatibu wa matawi na kata pamoja na hamasa na chipukizi matawi na kata wilaya kinondoni*
Katika kuhakikisha uchaguzi wa chipukizi unafanyika leo katibu wa hamasa na chipukizi wilaya ya kinondoni aliandaa semina elekezi ya makatibu matawi na kata pamoja makatibu wa hamasa wa matawi na kata ili kuwapa maelekezo ya uchaguzi huo. Kipekee niwapongeze viongozi wa uvccm wilaya ya kinondoni.
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
*Umoja wa vijana Mkoa wa Dar es Salaam*
*Chini ya Mwenyekiti Wetu ndg M***A KILAKALA*
Tunawatakia Waislamu wote na Watanzania wote heri ya Sikukuu ya *EID- EL- HAJJ* Tuadhimishe kwa *Upendo Amani na Mshik**ano* huku tukiwakumbuka Wagonjwa na wenye Kuhitaji Tusisahau kuwaombea Viongozi wetu*na Taifa letu
*EID MUBARAKA*
*Imetolewa na*
*FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
*UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM*
*Chini ya mwenyekiti wetu ndg *M***A KILAKALA*
Jumuiya ya umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa DAR Es salaam *Siku ya Alhamis* tarehe *16/8/2018* tutakuwa na kikao na viongozi watawi na kata zote za jimbo la ukonga katika ukumbi wa *Ccm Kata ya Kitunda* Muda ni saa *7:00 Mchana*.
Hodi *jimbo la ukonga*
Wahusika wa kikao hicho ni
*1.WAJUMBE WOTE WALIOCHAGULIWA KATIKA MKUTANO MKUU WA TAWI*
*NA KATA*
*3.KAMATI YA UTEKELEZAJI YA WILAYA*
*MSIMAMIZI WA JUMUIYA YA VIJANA MKOA WA DSM NDG M***A KILAKALA AKIAMBATANA NA KAMATI YA UTEKELEZAJI MKOA TUTAZUNGUMZA NA VIJANA WA JIMBO HILO LA UKONGA*
*TUKUTANE UKONGA*
BY:- *FRANK MANG'ATI KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM*
14/08/2018
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
DAR-ES-SALAAM
Dar Es Salam
255
