24/12/2020
Landspecs Developers Ltd
LANDSPECS Developers Ltd is a fully registered Tanzanian company that deals with land and property areas around fast growing cities/towns.
The main business of Landspecs Developers is acquisition of land in potentially prime locations in the country e.g. Upon acquisition, the company follow proper procedures for formalizing the land e.g. surveying, planning, obtain deed plans and obtaining title deed. In addition, Landspecs add basic infrastructure to the land such as developing roads and adding water or electricity services. Since i
24/12/2020
20/02/2020
Karibuni mnunue viwanja vilivyopimwa katika eneo la Buigiri, Wilaya ya Chamwino Dodoma. Viwanja vipo mita 300 kutoka barabara kuu iendayo Morogoro, umbali wa km 14 kutoka mji wa Serikali, na vipo jirani na Ikulu ya Chamwino (4.4 km) na pia vipo karibu na makao makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa. Kuna viwanja vya Makazi ma Makazi Biashara. Miundo mbinu ya barabara na umeme tayari ipo eneo la mradi. Bei ya kiwanja kwa mita ya mraba ni Sh. 3,000/=. Karibu ujipatie kiwanja kuanzia bei ya Sh. 1,059,000/=. Tunapatikana kwenye simu namba 0713355339/0782355339....
WAPENDWA WATEJA WETU NAPENDA KUWAJULISHA KUWA IFIKAPO SAA SABA MCHANA LEO 6.03.2019 LAINI YETU YA MAGU ITAZIMWA KWA NUSU SAA TU ILI KUMWEZESHA MKANDARASI WA REA KUUNGA UMEME ISANGIJO KWENYE NYUMBA ZA "WATUMISHI HOUSING". TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU HUO MFUPI UTAKAOJITOKEZA.
29/11/2018
Tunapenda kukujulisha kuwa, tunauza viwanja vilivyopimwa kwa matumizi mbalimbali katika eneo la Kivukoni, Buigiri Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
Viwanja hivi vipo umbali wa takribani mita 150 kutoka barabara kuu itokayo Dodoma kwenda Morogoro.
Eneo hili lipo umbali mfupi kutoka mji mpya wa Serikali na Ikulu ya Chamwino.
Ukubwa wa viwanja unaanzia mita za mraba 353 mpaka 1069 kwa viwanja vya makazi na mita za mraba 338 mpaka 2416 kwa makazi/biashara na makazi maalumu.
Viwanja hivi vipo katika ujazo wa juu (High Density), ujazo wa kati (Medium Density) na ujazo wa chini (Low Density)
Bei ya viwanja ni k**a ifuatavyo;
Viwanja vya makazi: 4,000/= kwa mita ya mraba
Viwanja vya makazi/biashara: 4,500/= kwa mita ya mraba
Wahi sasa viwanja vipo vichache
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo;
0713355339
0713351290
0713461650
28/05/2018
Maonyesho ya wadau wa sekta ya ardhi na nyumba viwanja vya Bunge Dodoma
10/03/2018
Tunatekeleza ahadi zetu.... Mafundi wa Tanesco wakifunga moja ya transformers katika mradi wa Kisesa Isangijo....
20/11/2017
Mwanza is the fifth fastest growing cities in the world according to World Economic Forum. Landspecs Developers Limited is proud to be one of the stakeholders in Mwanza growth.
Karibuni mnunue viwanja vilivyopimwa katika mradi wa Kisesa Isangijo Mwanza. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwenye namba zifuatazo; +255 755 540916, +255 762 739647, +255 713 355339...
21/09/2017
Affordable housing project by Watumishi Housing Company at our Kisesa Isangijo project.... Plots are still available at affordable prices...For further information on how you can be a part of this one of a kind project, please contact us. Welcome to the Kisesa Isangijo experience!
04/08/2017
Kisesa Isangijo project - Phase II launching soon.....please call for further details. You are all welcome..
04/06/2017
Landspecs Developers Ltd LANDSPECS Developers Ltd is a fully registered Tanzanian company that deals with land and property
03/01/2017
Happy New Year to you all...Thank you for your support and for being a part of our family....Stay blessed.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
4th Floor, GEPF House, 37 Bagamoyo Road, Victoria
Dar Es Salam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
