02/03/2025
Leo tunamalizia mjadala wetu wa 6 kuhusu kilimo , maji na umwagiliaji
Karibu ungana nasi kuanzia saa 10 jioni ya leo kupitia 👇
LIVE🔴Umwagiliaji wa Kisasa Unawezekana! (Sehemu ya 06)
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
SAGCOT Centre LTD Chanel
youtube.com/live/ariPWo4wL…
AgriBusiness East Africa Chanel
youtube.com/live/XZyY-oAxL…
Club House
clubhouse.com/invite/1djuvRB…
15/08/2024
Ni wakati mwingine tena napenda kuwakaribisha JOBIC Trading Company Limited kwa huduma zifuatazo:
1. Usafi kwa ujumla
Usafi wa majengo na mazingira yaani usafi wa majengo ni shughuli zote za usafi wa nyumba,vioo,sofa,tiles,choo n.k na usafi wa mazingira kufyeka,kulima kukata michongoma n.k
2. Hama na JOBIC:
Kwanini upate stress wakati wa kuhama? Team yangu ipo kukuhamisha KIFALME kwa gharama nafuu mno na kwa uaminifu mkubwa.
Huduma utakayopata ni pamoja na
•usafi wa ndani na nje nyumba utakayohamia
• upulizaji wa dawa ya kuuwa wadudu waharibifu kwenye nyumba utakayo hamia
• kufungua na kufunga kitanda,tv,dish,makabati n.k
•kupakia na kushusha mizigo yote
• usafiri juu yetu
toa oda siku 3 za kazi
3. Fumigation (pest control)
Ni huduma ya upulizaji wa dawa kuangamiza wadudu waharibifu waletao magonjwa ya mlipuko kwenye mazingira yetu.
Gharama zetu ni nafuu mno kila mtu anaweza kuafford.
Karibuni sana
Ghorofa ya shani cinema, floor 2,chumba namba 207
📞0759882507
Brigitha Mbiki
Mkurugenzi JOBIC TRADING CO. LTD 🙏
12/05/2023
Register now to this event www.afroworldagrifood.com
16/09/2022
Kazi imepamba Moto Kazi Iendelee
21/09/2020
Wafugaji wa Vikundi vya Ngozi vya Mileproma na Dosidosi Mkoani Manyara kwa furaha katika picha ya Pamoja baada ya kuhudhuria Mafunzo ya ya Ujasiliamali, Uendeshaji na Usimamizi wa Biashara. MRADI HUU WA MNYORORO WA THAMANI WA NGOZI UMEFADHIRIWA NA GIZ NA EAC KUPITIA PROGRAM YA IIDEA.
15/07/2020
Awareness and Capacity Building of the Livestock Stakeholders in Simanjiro and Kiteto districts.