01/01/2021
Happy new year
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Magufuli Scholars Forum UDOM, Political organisation, Dodoma.
01/01/2021
Happy new year
25/12/2020
Merry Christmas and Happy new year
13/12/2020
Vijana na Maendeleo program
03/12/2020
Tanzania nchi niipendayo zaidi.
30/11/2020
Tujikinge na Ukimwi na tuwakinge wengine.
Tumia Condom, Jiepushe na ngono zembe.
_
30/11/2020
Siku ya Ukimwi Duniani, tuambie utafanya nini, k**a mzalendo wa nchi yetu Tanzania.
_
30/11/2020
Kiashiria cha kwanza cha uzalendo ni kutowadharau walio chini yako, unapaswa kuwatumikia na kuwanyenyekea walio chini yako kuliko walio Juu yako.
_
29/11/2020
Tangu mwaka 1915 ilikuwa ni ndoto ya Taifa hili kuifanya Dodoma Kuwa makao makuu ya Nchi hii ya Tanzania (Tanganyika Zamani), Ndoto hii amaekuja kuitimiza Raisi wa awamu ya Tano Dr. John Pombe Magufuli
Hakika Hapa kazi tu, na kazi inaendelea.
_
28/11/2020
Afisa Habari wa MSF UDOM , yuko tayari kulitumikia Taifa kupitia Jukwaa hili.
Wewe unasubiri nini?.
_
28/11/2020
Mtunza Hazina Leyla Hassan,
Anaelezea namna Gani kajiandaa kufanya Kazi na kutumikia Taifa
_
27/11/2020
Safu ya Viongozi wa Juu wa MSF_UDOM 2020/2021 Tayari kwa kuanza kazi.
_
27/11/2020
Uzalendo ni kuipenda nchi yangu.
Nchi Yetu, Raisi Wetu, Fahari yetu.
_
.
📸