23/11/2023
Uto
The Master
23/11/2023
Uto
22/11/2023
๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ
21/11/2023
Pengine yatabaki kuwa maoni yangu binafsi tu ila kwa MWENENDO WA SIMBA HIVI SASA ni wazi viongozi husika hawatilii maanani maoni ya Mashabiki wao.
Ni maoni yangu binafsi ila Fans need essentials, mashabiki wanamtaka kocha mkuu, kocha wa viungo na timu imejipanga vipi kuelekea mchezo ujao.
My Opinion, THEY PROVE POLITICS!
21/11/2023
โMkutano wa leo unahusisha mashabiki wa Simba maarufu, wenye mvuto kwa mashabiki wenzao. Wapo wengi lakini tumechagua wacheche. Kubwa ni kuhusu mchezo wa tarehe 25 dhidi ya Asec Mimosas.โ
โMchezo huu unahitaji zaidi mashabiki kuja uwanjani, tunataka kuendeleza utamaduni wa kujaza uwanja. Tumewachukua mashabiki waje kuwambia mashabiki wenzao kuja uwanjani. Hivi karibuni tumepata tuzo ya mashabiki bora Afrika k**a klabu tunataka kuwashukuru kwa kazi kubwa.โ- Ahmed Ally.
21/11/2023
๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ
Kocha wa Viungo wa Simba Akiwa kwenye majukumu ya kila siku ๐๐
Follow ๐
21/11/2023
kula chuma hichooo ukisikiaaa Paah mwamba yuleee Uarabuniii
20/11/2023
Mwanasimba siku chache zimebaki kabla ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Nunua tiketi yako sasa.
21/06/2023
๐๏ธMICHEZO__Klabu ya Azam FC๐น๐ฟ imemuongeza mkataba nahodha wao Sospeter Bajana mpaka mwaka 2026.
๐๏ธ''Mkata umeme halisi na nahodha wetu Sospeter bajana, bado ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.''