Suleiman H.J. Serera

Suleiman H.J. Serera

Share

Naamini katika HAKI, UZALENDO, UADILIFU, na UWAJIBIKAJI kama nyenzo muhimu za ustawi wa Tanzania yet

18/11/2016

I recall when I was born,
Couldn't realize who I am.
But here being a Tanzanian,
A grace, my glad to him (God).
What else should I earn,
Than paying a patriotic esteem?
..For My Country!

(Nakumbukia nilipozaliwa,
Singejitambua miye ni nani.
Lakini kwakuwa kwangu Mtanzania,
Ni hisani, shukran zangu kwake (Mola).
Kipi cha ziada nikichume,
Zaidi ya kulipa uzalendo wenye enzi?)
.....Kwa Nchi Yangu! )

@ SS
18/11/2016.

Mobile uploads 14/12/2014

Ya Jana ni k**a ndoto; ya Leo ni k**a Uhalisia; wa kuifanya kesho iwe ya Matumaini. Tutembee kwenye ndoto tulizonazo haijalishi uwingi wa vikwazo vilivyopo katika njia ya mafanikio. Usikate tamaa, JARIBU JARIBU JARIBU ZAIDI!

09/12/2013

Chemchem ya furaha amani nipe tumainiiii,
Kila mara niwe kwako nikiburudikaaaa,
Nakupenda sanaa hata nikakusitiriiii,
Nitalalamika kukuacha Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaa.

08/12/2013

Kitakachotukomboa WAAFRIKA:
Tuwe na umiliki wa nchi zetu, rasilimali zetu; na kisha ndipo tutaamua nani tunataka tushirikiane naye!

25/11/2013

"Violence against women is violence against Us All."

24/10/2013

Mwalimu Nyerere na Mshahara wa Viongozi wetu:
Kutoka ktk TANU NA RAIA, April 1962, Ukurasa wa 6-7 nanukuu:
"Tulipopunguza mishahara ya Mawaziri (ambao pia ni Wabunge), tulisifiwa kwamba tumefanya jambo zuri. Na kweli tulifanya jambo zuri. Mshahara wa waziri wa kikoloni ulikuwa zaidi ya Shs.5,000 kwa mwezi, sisi tulipunguza ukawa Shs.3,000 ambao ktk sehemu nyingize za Afrika au dunia ni mshahara mdogo sana. Lakini kulinganisha mshahara wa Mawaziri wetu na mishahara ya mawaziri wa nchi nyingine, ambayo yaweza ikawa tajiri zaidi kuliko Tanganyika (Tanzania), siyo njia safi ya kulinganisha. Njia inayofaa kutumiwa, njia ambayo wana-TANU na wananchi wote hatuna budi tuitumie, ni kulinganisha mshahara huo na pato la ndugu zetu(wananchi wa kawaida). Basi njia safi ya kujua k**a mshahara wa Sh.3,000 kwa mwezi ni mkubwa au mdogo si ile ya kuulinganisha na mishahara ambayo Mawaziri (wakiwemo na Wabunge) wa nchi nyingine hupokea. Njia bora ni kulinganisha Sh.3,000 (iliyokuwa ikipokelewa na Mawaziri) kwa mwezi na Sh.75/50 au Shs.132 kwa mwezi (iliyokuwa ikipokelewa na Watumishi wa kawaida wakati huo). Hakuna mtu anayeridhika na fedha. Kwa hiyo Mawaziri (na wabunge) wetu wanazo shida kubwa, na tunazijua. Lakini shida zao ni za aina mbali kabisa na shida ya mtu ambaye anapata Shs.71/50 kwa mwezi!". Mwisho wa kunukuu.
Nadhani bado hoja hii ina mashiko kwa Tanzania yetu ya sasa!

20/09/2013

Now I can't live without U..Without U, what's my worth? Because U're the one! Now U are the only one, U are my Existence, My peace and My pain. U alone are my luv! Missing U and will be back just for U my country Tanzania!

16/09/2013

''Ukubwa wa ndoto zako hauna budi siku zote kupita uwezo wako wa kuzifikia. Lakini endapo ndoto hizo hazikutishi wewe mwenyewe, tambua kwamba siyo ndoto kubwa!"

11/08/2013

Throw away any hatred for anyone from your heart so that you will not carry sins for a lifetime.

Forgiving others is the best attitude to take!

06/08/2013

Kuibadili dunia (ya sasa) tunayoishi sio tena chaguo tunalotakiwa kulifanya, bali ni MWITO tunaolazimika kuuitika"

05/08/2013

''Kufanya mapinduzi haina maana ya kufyatua risasi tu, bali, kutengeneza jamii ya haki na usawa.”

26/09/2011

“Changing the world is no longer a choice we can make, but a call we must answer.”

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


2043 Area C
Dodoma