WCF Tanzania

WCF Tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from WCF Tanzania, Government Organization, Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Jengo la Kambarage, Ghorofa ya Tatu, 1 Barabara ya Kambarage, S. L. P 329, 41101 Dodoma, Dodoma.

Photos from WCF Tanzania's post 07/05/2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete, akimkabidhi tuzo Mkuu wa Kitengo cha Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Festo Kandonga, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo kwa kutambua mchango wao katika kufanikisha Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Utumishi wa Umma (AAPAM). Tukio hilo limefanyika tarehe 6 Mei jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo.

.evalinemunisi



06/05/2026

HONGERA

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wa WCF tunakupongeza Mhe. Dkt. Evaline Wilbard Munisi kwa kuteuliwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano. Tunakuahidi ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu.

.evalinemunisi



02/05/2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo ya shukrani Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dkt. John Mduma, wakati wa sherehe za Mei Mosi zilizofanyika katika viwanja vya Halmashauri ya Mji wa Njombe, eneo la Lunyanywi, Mei 1, 2026.




Photos from WCF Tanzania's post 02/05/2026

WCF Yashiriki Maadhimisho ya Mei Mosi Njombe

Menejimenti na Wafanyakazi wa WCF, walijumuika na wafanyakazi wengine katika kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026), iliyofanyika katika viwanja vya Halmashauri ya Mji wa Njombe, eneo la Lunyanywi.





02/05/2026

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi bora nafasi ya tatu wa Taasisi kwa mwaka 2026.




02/05/2026

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi bora nafasi ya pili wa Taasisi kwa mwaka 2026.




Photos from WCF Tanzania's post 01/05/2026

Mei Mosi 2026




01/05/2026

Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) tunakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi bora wa Taasisi kwa mwaka 2026.




Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mkurugenzi Mkuu, Mfuko Wa Fidia Kwa Wafanyakazi (WCF), Jengo La Kambarage, Ghorofa Ya Tatu, 1 Barabara Ya Kambarage, S. L. P 329, 41101 Dodoma
Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00