Umoja wa Wanawake (uwt-Ccm) Mwanza

Umoja wa Wanawake (uwt-Ccm) Mwanza

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Umoja wa Wanawake (uwt-Ccm) Mwanza, Political organisation, Dodoma.

13/11/2012

YUSUF MAKAMBA:

Rais Kikwete ni binadamu tusitazame dosari zake k**a mwanadamu, tazama mkataba wake na CCM.

Photos 13/11/2012

An architect’s impression of the new CCM national headquarters and convention centre to be constructed at Makulu in Dodoma.

12/11/2012

Matokeo ya chaguzi za nafasi 10 za wajumbe wa NEC Tanzania Bara wa Chama cha Mapinduzi zinazoendela Dodoma yametoka ni k**a ifuatavyo:

1. Stephen Wassira - 2,135
2. January Makamba – 2,093
3. Mwigulu Nchemba – 1,967
4. Martine Shigela – 1,824
5. William Lukuvi – 1,805
6. Bernard Membe – 1,455
7. Mathayo David Mathayo – 1,414
8. Jackson Msome - 1,207
9. Wilson Muk**a - 1,174
10. Fenela Mukangara - 984

Source: Makongoro Nyerere kupitia Mjengwa Blog

Photos 07/11/2012

UWT Mwanza ilishtushwa pia kuwa na masikitiko makubwa ilipopata taarifa za kifo cha askofu jimbo katoliki la Shinyanga ALOYSIUS BALINA, kwa mujibu wa taarifa kifo hicho kilichotokea jana siku ya jumanne (November 6th, 2012) majira ya saa tano za asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando mkoani Mwanza.

Umoja wa wanawake wa mkoa wa Mwanza unatoa pole kwa waumini na watu kwa kumpoteza askofu, panapo majaaliwa tutatuma wawakilishi katika shughuli zote za kumpumzisha askofu Aloysius Balina.

RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE EEH BWANA, APUMZIKE KWA AMANI – AMINA “INNALILLAHI WAINAH ILAHI RAJIUN” !

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dodoma