VETA

Call Directions Website

VETA This is an official account for the Vocational Education and Training Authority (VETA).

26/10/2026

CHAMWINO WAFURAHIA! WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA CHUO KIPYA CHA VETA, WAGUSWA NA UZURI WA MAJENGO YAKE!


Chuo cha VETA Wilaya ya Chamwino, Dodoma, chakamilika! Wananchi wafurahia hatua hii inayotarajiwa kufungua milango ya mafunzo ya ufundi stadi, kujiajiri na kuongeza fursa za ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.

Chuo hiki ni sehemu ya mpango wa ujenzi wa vyuo 65 vya VETA nchini — vyuo 64 vya wilaya na chuo kimoja cha mkoa wa Songwe.

🛠️ Kozi fupi za ufundi stadi zinatarajiwa kuanza, zikiwa na lengo la kuwapatia wananchi ujuzi wa vitendo kwa ajili ya kujiajiri na kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya kiuchumi.

CHAMWINO SASA NI MWENDO WA UJUZI!

VijanaNaMaendeleoTanzania vyuo 65 vya VETAufundistadifursakamazotekwawatuwote #

FURSA YA MAFUNZO YA UMAHIRI WA MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA UFUNDI STADIWalimu na wakufunzi wote wanaokidhi vig...
26/10/2026

FURSA YA MAFUNZO YA UMAHIRI WA MBINU ZA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA UFUNDI STADI

Walimu na wakufunzi wote wanaokidhi vigezo na wenye nia ya kushiriki mafunzo haya wanahamasishwa kujaza fomu ya usajili kupitia kiungo kifuatacho: https://forms.gle/dZCnzecntjUvvJRPA au kutembelea tovuti ya VETA: www.veta.go.tz

26/10/2026
26/10/2026
26/10/2026
26/10/2026
Vyuo vipya 65 vya VETA kuanza kutoa mafunzo mwezi Novemba mwaka huu - 2026.
24/10/2026

Vyuo vipya 65 vya VETA kuanza kutoa mafunzo mwezi Novemba mwaka huu - 2026.

23/10/2026
23/10/2026
📢 KARIBU UFUATILIE MUBASHARA! TUKO LIVE BONGO FM🎙️ Mkurugenzi Mkuu wa VETA yupo mubashara katika kipindi cha Powerbank k...
23/10/2026

📢 KARIBU UFUATILIE MUBASHARA! TUKO LIVE BONGO FM

🎙️ Mkurugenzi Mkuu wa VETA yupo mubashara katika kipindi cha Powerbank kupitia Bongo FM.

📻 Usikose kufuatilia mazungumzo haya muhimu kuhusu:

MADA: VETA NA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050

Karibu usikilize na ufuatilie matangazo ya moja kwa moja ili kupata ufahamu zaidi kuhusu mchango wa VETA katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

📢 TUKO LIVE! KARIBU UFUATILIE!

Fuatilia Power Bank Jumatatu Mpaka Ijumaa Kuanzia Saa 3:00 Asubuhi ...

Address

VETA Head Office, 12 VETA Road, 41104 Tambukareli, P. O. Box 802, Dodoma Tanzania, Email: Info@veta. Go. Tz Telephone: +255 26 2963661 Fax: +255 22 2863408 Url: Www. Veta. Go. Tz
Dodoma
PLOTNO.18

Opening Hours

Monday 07:30 - 21:30
Tuesday 08:00 - 21:30
Wednesday 07:30 - 21:30
Thursday 07:30 - 21:30
Friday 07:30 - 21:30

Telephone

+255262963661

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VETA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share