17/10/2025
National Bureau of Statistics Tanzania
The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide offi
17/10/2025
12/08/2025
Wadau mbalimbali wakipata elimu kuhusu takwimu mbalimbali zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutoka kwa Ofisa wa NBS katika banda kwenye Maonesho ya Asasi za Kiraia Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini, Dodoma. Maonesho haya ni sehemu ya Mkutano wa Asasi za Kiraia wa kutathmini mchango wa taasisi hizo kwenye maendeleo. NBS imeendelea kutumia fursa hizi kujitangaza na kusambaza machapisho na takwimu mbalimbali.
08/08/2025
08/08/2025
Leo ikiwa ni kilele cha maonesho ya sikukuu ya wakulima, wafugaji na wavuvi maarufu k**a Nanenane, Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS imeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali juu ya umuhimu wa kutumia tafiti sahihi katika sekta ya kilimo
Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS, ipo katika maonesho ya Nanenane kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
07/08/2025
Afisa Mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Prof. William Pallangyo ametembelea banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS, kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Akiwa katika banda Prof. Pallangyo amewataka wananchi kujitokeza kutembelea banda hilo ili wapate elimu ya tafiti mbalimbali za mapato na matumizi ya kaya binafsi pamoja na tafiti za watu wenye uwezo wa kufanya kazi zinazofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu.
Baadhi ya wananchi wameendelea kutembelea Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS katika maonesho ya Nanenane viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma na kupata elimu ya umuhimu wa kutumia takwimu kwenye Kilimo, Ufugaji na Uvuvi.
07/08/2025
Watakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, NBS na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar wakiwa kwenye kikao kazi na Waangalizi kutoka Tume ya Kimataifa ya Uchumi wa Afrika (UNECA) Takwimu House,jijini Dodoma.
Waangalizi hao watakuwa kwenye tathimini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kitaifa awamu ya Pili wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu Nchini (TSMP II ).
Mpango huu ni wa Serikali na utekelezaji wake unafanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu chini ya usimamizi wa Wizara za Fedha
06/08/2025
Wananchi mbalimbali wanaendelea kufika katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS, kwenye maonesho ya Nanenane na kupewa elimu, kuhusu umuhimu wa matumizi ya takwimu katika sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
06/08/2025
Karibu katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS, katika maonesho ya Nanenane viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, kufahamu maswala mbalimbali ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mujibu wa takwimu sahihi.
05/08/2025
Wadau na Wateja wa huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakipata maelezo ya kina kuhusu huduma hizo kutoka kwa Maofisa wa NBS katika banda la Ofisi lililopo kwenye Viwanja vya NaneNane vilivyopo Nzuguni jijini Dodoma. NBS inaendelea kutoa elimu kwa umma na wadau mbalimbali kuhusu umuhimu wa matumizi ya takwimu katika kupanga na kufanya maamuzi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Jakaya Kikwete Road, P. O. Box 2683
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 15:00 |
| Tuesday | 08:00 - 15:00 |
| Wednesday | 08:00 - 15:00 |
| Thursday | 08:00 - 15:00 |
| Friday | 08:00 - 15:00 |
| Saturday | 00:00 - 23:00 |
| Sunday | 00:00 - 23:00 |
