19/10/2026
Ushirikiano imara ni chachu ya kuendeleza juhudi za kuondoa umaskini, kuboresha maisha ya wananchi na kuchochea maendeleo endelevu.
ilishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA), uliofanyika tarehe 17 Oktoba 2026 ikiwakilishwa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Bw. Godwin Mkisi. Katika mkutano huo ilipokea tuzo ya kutambua mchango na ushirikiano wa muda mrefu kati ya taasisi hizi mbili.