TASAF Tanzania

TASAF Tanzania

Share

Ukurasa rasmi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)

Photos from TASAF Tanzania's post 06/05/2026

Menejimenti ya ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji imekutana na Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa na kuwasilisha taarifa ya utelekezaji wa shughuli za TASAF, pamoja na maandalizi ya Awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini.

01/05/2026

inawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

26/04/2026

Tunawatakia watanzania wote kumbukizi njema ya siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Photos from TASAF Tanzania's post 22/04/2026

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii tunashiriki kwenye mkutano mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika jijini Arusha kwa siku mbili.

22/04/2026

Kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wa .tanzania, kaya za wanufaika zimeweza kuanzisha shughuli mbalimbali za ujasiriamali zinazowawezesha kupata mahitaji na huduma muhimu zinazowasaidia kuboresha hali zao za maisha.

19/04/2026

Ujenzi wa miundombinu ya shule kupitia Uendeleaji Miundombinu katika Shule ya Sekondari ya Igogwe Manispaa ya Ilemela, Mwanza uliofadhiliwa na kupitia , umeboresha mazingira ya kujifunza na kuongeza mahudhurio kwa wanafunzi shuleni.

08/04/2026

.Tanzania has an opening for;

i. Monitoring, Evaluation & Learning Officer (1 Post)
ii. Procurement Officer (1 Post)
iii. Motor Vehicle Mechanic (1 Post)

To apply, interested candidates should visit our website www.tasaf.go.tz

Application Deadline: 7 May 2026

07/04/2026

Tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya Hayati Abeid Amani Karume, tunajikumbusha na kuenzi uongozi wake ulioacha alama katika kuleta umoja na maendeleo kwa wote.

05/04/2026

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Pasaka

03/04/2026

Tunawatakia Watanzania wote Ijumaa Kuu njema.

Photos from TASAF Tanzania's post 28/03/2026

Katika muendelezo wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani , wiki hii, Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Bi. Mariam Al-jabiri akiwa ameambatana na baadhi ya watumishi, walikabidhi msaada wa kuwalipia matibabu pamoja na vifaa tiba kwa wagonjwa wanaopatiwa huduma katika Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


S. L. P 2719
Dodoma