15/11/2023
Watu wa MUNGU uzima wako ukoje kwa leo natamani kukujuza kuwa natarajia kuachia wimbo mpya YouTube na platform zingine K**a boomplay, iTunes n.k hivyo kesho 16/11/2023 21:00pm so kaa mkao wa kubarikwa na wimbo huu. AHSANTE.
14/11/2023
Wimbo unaoitwa USIFIWE ambao MIRACLE SOUND TEAM wamemshirikisha France Kapina itakuwa hewani tar 2/12/2023, muda ni 21:00 pm, kaa mkao wa Kula ewe mdau na mtatiliaji Sweet Melody and good arranged music "HII SIO YA KUKOSA"
28/09/2021
Watu wa MUNGU Dj mkal kp anapenda kukutangazia kuwa Watumishi TV wapo tayar online kukuletea taarifa za watumishi wa mungu, mahubiri na injili matukio ya waimbaji wa nyimbo za injili karibu YouTube andika Watumishi TV kiwafatilia alafu wanapatikana insta na fb kwa jina hilo hilo
19/04/2021
In jesus name we are living
04/04/2021
usku mwema kafufuka namshelekee sasa