Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania

Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania

Share

Responsible for management of Natural and Cultural Resources and development of tourism.

25/07/2022
10/07/2021

SABASABA





09/07/2021

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi wakipewa taarifa na Mhifadhi Mkuu wa Mambo ya Kale, Mwita William (Kushoto) kuhusu namna za kujiajiri kupitia Malikale alipotembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya 45 ya kimataifa ya Kibiashara yanayoendelea jijini Dar Es Salaam.

09/07/2021

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kulia) wakipewa taarifa na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utalii, Richie Wandwi (Kushoto) kuhusu Sera na Miongozo ya sekta ya Utalii alipotembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya 45 ya kimataifa ya Kibiashara yanayoendelea jijini Dar Es Salaam.

09/07/2021





Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


1351
Dodoma