Bunge la Tanzania

Bunge la Tanzania

Share

Tanzania Parliament is the Supreme Legislature of the country It consists of the President of the United Republic and the National Assembly.

Tanzania Parliament like its counterparts, in other countries, is the Supreme Legislature of the country. It grants money for running the administration of the country and is a very effective instrument for overseeing Government programs and plans. It can also oversee the action of the Executive by being a watchdog to ensure that government is accountable for its administration. The most important

Photos from Bunge la Tanzania's post 02/06/2026

Waheshimiwa Wabunge wamepitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 02, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

02/06/2026

. BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA AROBAINI NA MOJA TAREHE 02 JUNI, 2026

Photos from Bunge la Tanzania's post 02/06/2026

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis M***a Omar amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 02, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

02/06/2026

Waheshimiwa Wabunge walivyowasili Bungeni kushiriki Kikao cha 41 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13, leo Juni 02, 2026 Jijini, Dodoma.

02/06/2026

Orodha ya Shughuli, Bunge la 13 Mkutano wa 3, Kikao cha 41 leo Juni 2, 2026.

Photos from Bunge la Tanzania's post 01/06/2026

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Macedonia Kaskazini, Mhe. Afrim Gashi leo tarehe 01 Juni, 2026, Skopje, Jamhuri ya Macedonia Kaskazini.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano wa Kibunge baina ya Tanzania na Jamhuri ya Macedonia Kaskazini.

Photos from Bunge la Tanzania's post 01/06/2026

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. M***a Azzan Zungu (Mb), ameshiriki Mkutano wa 14 wa Bunge la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Uvumilivu na Amani, leo tarehe 01 Juni, 2026, Skopje, Jamhuri ya Macedonia Kaskazini, ambapo Bunge la Macedonia Kaskazini ndio Mwenyeji wa Mkutano huo.

Photos from Bunge la Tanzania's post 01/06/2026

Waheshimiwa Wabunge wamejadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 01, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

01/06/2026

. BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA TATU,KIKAO CHA AROBAINI TAREHE 01 JUNI, 2026

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


10th Morogoro Road, P. O. Box 941, 40490 Tambukareli
Dodoma