Kondoa District Council

Kondoa District Council

Share

Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ina maeneo ya vivutio vya utalii k**a michoro ya mapangoni eneo la Kondoa Irangi.

Photos from Kondoa District Council's post 08/12/2021

Matokeo ya Usaili wa Mahojiano tarehe 8-12-2021

Photos from Kondoa District Council's post 07/12/2021

Matokeo ya mtihani wa mchujo na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano kesho tarehe 8-12-2021

Usaili wa mahojiano utafanyika ukumbi wa Kondoa Irangi
Musa kuandaa saa 2:00 Asubuhi

Photos from Kondoa District Council's post 02/12/2021

Tangazo la kuitwa kwenye usaili

Photos from Kondoa District Council's post 02/12/2021

Baadhi ya Watumishi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wiki ya sherehe zamiaka 60 ya uhuru wa Tanganyika

Photos from Kondoa District Council's post 02/12/2021

Uzinduzi wa Sherehe za Uhuru na Ujenzi awamu ya pili Mji wa serikali.
Eneo la viwanja vya Mtumba Dodoma
Matukio katika picha eneo la uzinduzi

Photos from Kondoa District Council's post 28/11/2021

Mgeni Rasmi Dkt.Ashatu Kijaji siku ya Takwimu Afrika 2021 akizungumza...

Photos from Kondoa District Council's post 28/11/2021

Siku ya Takwimu ya Afrika 2021-Viwanja vya Pahi H/Wilaya ya Kondo

06/07/2021

Tangazo kwa watumishi wapya wanaoripoti Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anawakaribisha watumishi wapya waliopangiwa kufanya kazi katika Halmashauri hii.
Ili kuepuka usumbufu wa kufika Ofisi zilipo au kwa changamoto zozote,tafadhali rejea mawasiliano katika tangazi hapa chini

Photos from Kondoa District Council's post 23/04/2021

Kikao Kazi TASAF Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu Wilaya ya Kondoa
Mgeni Rasmi Mhe. Sezaria Veneranda Makota Mkuu wa Wilaya ya Kondoa
Hotuba ya Mgeni Rasmi
=Malengo ya TASAF III awamu ya pili ni pamoja na
1.kuwawezesha kaya kufanya kazi na hivyo kuongeza kipato,
2.kuwawezesha kuongeza rasilimali zalishi na kuongeza vitega uchumi,
3.kuwekeza kaika rasilimali watu ili kuleta matokea ya kudumu,
4. upatikanaji wa huduma za afya,maji na elimu
5. kukuza uchumi kaika maeneo ya walengwa kupitia vikundi vya miradi.
>

Photos from Kondoa District Council's post 19/01/2020

KIKAO CHA LISHE LEO TAR 19 JAN,2020 KIKIENDELEA...
Kikao cha lishe kikijumuisha Wadau wa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Shirika la Deloitte linalojihusisha na lishe endelevu kikiendelea katika ukumbi wa Biashara uliopo Halmashauri ya Mji wa Kondoa.

Photos from Kondoa District Council's post 22/11/2019

Kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kilichofanyika tarehe 21/11/2019 Bukulu Makao Makuu ya Halmashauri.
Matukio katika picha...

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dodoma
P.OBOX1,KONDOA