26/05/2026
Eid Al-Adha Mubarak.
Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Mbunge Viti Maalum (UWT) Mkoa wa Mjini, Zanzibar, chini ya Mhe. Asya Ali Khamis. 🇹🇿
26/05/2026
Eid Al-Adha Mubarak.
19/05/2026
Mhe. Asya Ali Khamis na Mhe. Mariam Anzuruni Mungula kwenye Picha ya Pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi (JWTZ) Luteni Jenerali Salum Haji Othman.
🗓️Mei 19, 2026.
📍Dodoma.
Cc.
19/05/2026
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Picha ya Pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Simon Nyansaho pamoja na Wakuu Wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya Kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
🗓️Mei 19, 2026.
📍Dodoma.
Cc.
19/05/2026
Mhe. Asya Ali Khamis na Mhe. Mariam Anzuruni Mungula Wakiwasili Bungeni Kushiriki Kikao cha 32 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13.
🗓️Mei 19, 2026.
📍Dodoma.
Cc.
17/05/2026
Kamati ya NUU yakutana na Ujumbe wa DRC.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo Nje, Ulinzi na Usalama Wamekutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mazungumzo yao yamejikita katika Kuimarisha Ushirikiano wa Kidiplomasia kati ya Tanzania na DRC, Maendeleo ya Kiuchumi, Usimamizi wa Rasilimali za Umma, Uwekezaji wa Kimataifa na Maendeleo ya Miundombinu ya Kimkakati.
15/05/2026
Jummah Kareem!
Cc. Mhe. Asya Ali Khamis
13/05/2026
Kamati ya Kudumu ya Bunge na Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekutana na Kufanya Mazungumzo na Ujumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kutoka Bunge la Jamhuri ya Msumbiji ukiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Fransisco Valentino Cabo.
Mhe. Asya Ali Khamis Ameshiriki kwenye Mazungumzo Hayo yaliyofanyika Jana tarehe 12 Mei, 2026 katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma.
Ujumbe wa Wabunge hao Kutoka Msumbiji umetembelea Bunge la Tanzania kwa Lengo la Kubadilishana Uzowefu wa Namna Mabunge ya Nchi Mbili hizi Yanavyosimamia na Kuzishauri Serikali Kuhusu Tasnia na Sekta za Ulinzi na Usalama.
Aidha, Ziara Hiyo ni Sehemu ya Kuendeleza na Kuimarisha Uhusiano wa Kirafiki na Kindugu baina ya Tanzania na Msumbiji.
10/05/2026
Heri ya Siku ya Mama Duniani.
01/05/2026
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
26/04/2026
Heri ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.🇹🇿