Handeni FDC

Call Directions Website Contact the organization

Handeni FDC Handenifdc ni chuo kilichoanzishwa mwaka 1963 kunachotoa mafunzo ya ufundi kwa ngazi ya cheti.

Chuo hichi ni miongoni mwa vyuo 54 vya FDC ambacho kinapatikana mkoani Tanga Wilayani Handeni.

Usajili wa level IItayari umeanza wahi sasa
07/08/2026

Usajili wa level IItayari umeanza wahi sasa

Karibu Handeni FDC ujifunze fani ya ushonaji pamoja na kudarizi. Mafunzo yapo ya muda mrefu na muda mfupi kilingana na u...
28/06/2026

Karibu Handeni FDC ujifunze fani ya ushonaji pamoja na kudarizi. Mafunzo yapo ya muda mrefu na muda mfupi kilingana na uhitaji wa mhusika. Mafunzo yanatolewa kwa mtaala wa chini ya wote mnakaribishshwa.

20/06/2026
Chuo cha maendeleo ya wananchi kinawatakia kila la kheri katika sikukuu ya eid
21/03/2026

Chuo cha maendeleo ya wananchi kinawatakia kila la kheri katika sikukuu ya eid

17/03/2026

Watumishi toka Handeni FdC wakifanya mahojiano na wanakijiji ambao ni mafundi waliopo Kwamatuku Korogwe ili waweze kupatiwa ujuzi pamoja vyeti. # #

Wanachuo wa handeni fdc katika varaza la chuo lililofanyika october 2025 wakitoa hoja zao mbele ya mkuu wa chuo na watum...
17/03/2026

Wanachuo wa handeni fdc katika varaza la chuo lililofanyika october 2025 wakitoa hoja zao mbele ya mkuu wa chuo na watumishi ili kuimarisha nidhamu itakayozaa matokeo chanya chuoni

Address

Handeni

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255715703044

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Handeni FDC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Handeni FDC:

Shortcuts

Share