10/11/2025
Wahi sasa. Nafasi za mabweni ni chache🙂
Handenifdc ni chuo kilichoanzishwa mwaka 1963 kunachotoa mafunzo ya ufundi kwa ngazi ya cheti.
Chuo hichi ni miongoni mwa vyuo 54 vya FDC ambacho kinapatikana mkoani Tanga Wilayani Handeni.
10/11/2025
Wahi sasa. Nafasi za mabweni ni chache🙂
10/11/2025
Wote mnakaribishwa
03/03/2025
Majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi chuo Cha HANDENI FDC chini ya udhamini wa ofisi ya waziri mkuu
03/02/2025
Wote mnakaribishwa. Fomu zinapatukana chuoni Handeni FDC
02/02/2025
Wote mnakaribisha. Fomu zinapatukana chuoni.
18/11/2024
Maadhimisho ya mahafali ya 38 ndani ya Chuo Cha maendeleo ya wamanchi HandeniFDC
06/11/2024
15/10/2024
Wote mnakaribishwa ☺️
24/08/2024
Pongezi kwako Mr. Ziad
Ilikua furaha yenye huzuni ndani yake
Tafrija ndogo ya kumuaga mtumishi mwenzetu aliepata uhamisho. Kwa pamoja tunashukuru na tumeona uwepo tunakutakia kila la kheri uendapo🙏🙏
| Monday | 08:00 - 15:30 |
| Tuesday | 08:00 - 15:30 |
| Wednesday | 08:00 - 15:30 |
| Thursday | 08:00 - 15:30 |
| Friday | 08:00 - 15:30 |