Cheba General Traders

Cheba General Traders

Share

Fumigation, fire equipments, cleaning materials, cleaning services, stationery...

24/05/2025

Usisubiri majanga ya moto yatokee.. hakikisha vifaa vya kuzimia moto vipo na vinafanya kazi ili kupunguza madhara yatokanayo na moto. Karibu kununua, kutengeneza na kujifunza matumizi sahihi ya vifaa vyote vya kuzimia moto 🧯

27/04/2025

Mitungi ya kuzimia moto (fire extinguishers) husaidia kukabiliana na majanga ya moto (hatua za awali) na kupunguza madhara yatokanayo na moto..
Karibu kwa kununua, kutengeneza/kujaza mitungi ya kuzimia moto na vifaa vingine vya kuzima moto kwa gharama nafuu!

19/04/2025

Tunauza na kufunga (installation) mitungi ya kuzimia moto 🧯 pamoja na vifaa vyote vya kuzimia moto majumbani, maofisini, viwandani n.k
Karibu tukuhudumie! 🙂

13/04/2025

Zipo faida nyingi za kutumia mitungi ya kuzimia moto (Fire Extinguishers); zinapatikana kwa gharama nafuu, huzima aina nyingi za moto (umeme, mafuta, gesi nk.), matumizi rahisi.

Photos from Cheba General Traders 's post 25/03/2025

Fire blankets kwa gharama nafuu..
Njia nyepesi na rahisi ya kuzima moto 🚒

08/07/2023

Karibu Cheba General Traders kwa huduma ya ku-service mitungi ya kuzimia moto aina zote iwe kwenye vyombo vya moto, ofisi, shule, nyumba n.k
Pia tunauza na kufanya installation ya mitungi ya kuzimia moto 🧯 na vifaa vingine vya kuzimia moto kwa gharama nafuu.

Wasiliana nasi kupitia:
page: Cheba General Traders
Mobile: 0714 066 122
E-mail: @gmail.com

07/07/2023

Cheba General Traders tunawatakieni nyote heri na maadhimisho mema ya sikukuu ya Saba Saba.

02/07/2023

Habari! Karibu Cheba General Traders. Hii ni kampuni ya kisasa iliyojikita katika shughuli zifuatazo fumigation (kupuliza dawa za kuua wadudu), vifaa vya kuzimia moto, vifaa vya usafi, huduma ya usafi, stationery na vifaa vya magari.
Kampuni yetu ina watendakazi wenye uzoefu na wenye utendaji mkubwa wa kazi katika majukumu yao ya kila siku.
Kampuni imesajiliwa kisheria na ina leseni halali za biashara pia tunatoa risiti za EFD kwa kila malipo ya huduma.
Ofisi yetu inapatikana viwanja vya Saba Saba-Iringa, Tanzania.
Tafadhali wasiliana nasi kupitia:

page: Cheba General Traders
Mobile: 0714 066 122
E-mail: [email protected]

Want your business to be the top-listed Government Service in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Saba Saba-Iringa
Iringa