Hazybiber

Hazybiber

Share

MUSIC

26/06/2019

Ubaya ni mbegu ya kisasi,ikipandwa na ikaota ni k**a lisasi,KAMA ULIPANDA JIANDAE KUVUNA, #[happy=sad]

07/11/2017

k**a sikupend!sikupend tu,maneno meng hayasaidii kitu,am talking with u bitch, f**k u snitch, ,

06/11/2017

wananiita comled kipepe,natembeza rungu homeland kwa vicheche,walevi wanaanguka sana kipindi cha tete, ,

06/11/2017

kondoo,anatafuna nyac na jongoo,mi natafuna ugal na jogoo,ha2wez kuwa sawa kamwambie kadogoo, ,

06/11/2017

ogopa ukubwa madogo wana ndev za kisasa,wachungaj bank kuu ni kanisa,nikifa ghafla mwanangu anasema atakuja kuwa hasla,

06/11/2017

nilijifunza kuish na mbwa so wa2,mlinz wa kwel ni mbwa so m2,mbwa anaweza kulinda kilak2,ila m2 anaweza kuiba kilacku,

05/11/2017

mdomo ni silaha ya wenye maneno, nimekubali kuwa mdogo ili nipunguze misemo, ,

02/06/2015

hakuna cku mbaya wabaya watu!

06/05/2015

demo--hazybiber

24/04/2015

hazybiber- audio (stone)

Photos 20/04/2015

i see me!

Photos 14/04/2015

richie moja

Want your business to be the top-listed Government Service in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


27-MAFINGA
Iringa
27-HOSPITAL