Iringa Cultural Tourism and Conservation

Iringa Cultural Tourism and  Conservation

Share

starts on cultural tourism by consider on museum,historical sites, tradition and custom found in Iringa region.

16/08/2025

Katika shughuli za kujikwamua kiuchumi vijana wa mkoa wa Iringa wanatumia fursa ya ya Cultural Heritage and tourism kutengeneza kazi zenye ubunifu,kujiingizia kipato The Heritage Management Organization

03/06/2024

Jacob Zuma anaichoma South Africa.

11/06/2023

Ni rahisi Simba Sc kushinda kombe la Uefa Champions league kuliko CAF Champions league. Kwa hizi fitina
za waraab , tujipange

10/09/2021

Tembo hataki mchezo hula mbuyu anavyotaka. Don't try it

10/09/2021

Njian kuelekea Ruaha National Park , hilo daraja la Kalenga.Good vibe

03/09/2021

Ruaha National Park ni moja ya mbuga zenye utajiri mkubwa wa tembo. Lakin changamoto ya ujangiri inarudisha nyuma maendeleo na ukuaji wa tembo

15/12/2020

Jiwe Gangilonga ni moja ya vivutio vilivoko katika manispaa ya Iringa. Ukubwa wa jiwe hili na historia ya jiwe hili ndilo linawavutia wakazi wengi hususani vijana kulitembelea. Vijana upenda kupanda mpaka kilele cha jiwe hili ili waweze kuiona sehemu kubwa ya Iringa manispaa. Kihistoria wanaliita jiwe linaloongea inasadikiwa neno Gangilonga limetokana na lugha ya kihehe 'Liganga lilonga' jiwe linaloongea. Mvuto wa eneo hili kipindi cha masika linaonekana k**a msitu.

Photos from Nishati Endelevu-Sustainable Energy Initiative's post 30/08/2019

Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini akipita katika banda letu siku ya maonyesho ya wakulima kimkoa kujionea majiko mbadala na nishati mbadala

Photos from Nishati Endelevu-Sustainable Energy Initiative's post 27/08/2019

Iringa ardhi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali kuna malighafi ya kutosha yenye uwezo wa kutengenezea mkaa endelevu. Vumbi la mbao linatumika kutengenezea mkaa endelevu unawaka mda mrefu na hautoi moshi wala cheche. Mzuri kwa afya yako

Want your business to be the top-listed Government Service in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Iringa
51108