20/08/2019
"Niwaombe tuweke Mazingira safi na kuwa wakarimu kwa wageni, pia wananchi waruhusiwe kuvinjali nakuangalia utalii ndani ya Manispaa ya Iringa"
Kauli hiyo imesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika kongamano la utalii karibu kusini lililofanyika ukumbi wa Siasa ni Kilimo ndani ya Manispaa ya Iringa .
Miongoni mwa washiriki katika kongamano hilo ni Pamoja na Wakuu wa Wilaya, Jeshi la polisi, Wamiliki wa mahoteli, Viongozi wa Dini na viongozi mbalimbali wa Serikali nzima kutoka Manispaa ya Iringa. .ryata @
24/07/2019
MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHESHIMIWA RICHARD KASESELA AMEWAPONGEZA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI YA LUGALO KWA KUFUTA DIVISION ZIRO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
18/07/2019
MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEWATAKA WANANCHI WA MANISPAA YA IRINGA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA STENDI MPYA YA IGUMBILO.
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
18/07/2019
MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEZINDUA RASMI HUDUMA ZA MABASI KATIKA STENDI YA IGUMBILO.
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
11/07/2019
TAARIFA KWA WANANCHI JUU YA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz/press-release
11/07/2019
TAARIFA KWA WANACHI JUU YA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz/press-release
09/07/2019
KAMATI YA USAFIRISHAJI MKOA WA IRINGA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MRADI WA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO MANISPAA YA IRINGA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
09/07/2019
KAMATI YA SIASA YA CCM NGAZI YA MKOA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
02/07/2019
MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA AMEKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WALIOPANGISHWA KATIKA VIBANDA VINAVYOMILIKIWA NA MANISPAA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz
24/06/2019
BEI ZA LESENI ZA BIASHARA ZINAZOTOZWA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
www.iringamc.go.tz
13/06/2019
MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEUAGIZA UONGOZI WA MANISPAA YA IRINGA KUINGIZA MABASI STENDI YA IGUMBILO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz