07/06/2022
Karibuni MAMA Karagwe tunakupenda
UVCCM wilaya ya karagwe chini ya mwenyekiti Ndg. Alexius Sylivester inamkaribisha mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM taifa kwenye ziara yake Mkoani Kagera.
UVCCM UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)
26/04/2022
Kheri ya sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26 Aprili 1964-2022.
IMARA INAANZA NA MIMI SHIRIKI UCHAGUZI KIKAMILIFU
17/04/2022
UVCCM-Karagwe inawatakia kheri ya sikukuu ya pasaka wanajumuiya ya uvccm_karagwe na watanzania wote
07/04/2022
Kheri ya kumbukizi ya kifo cha Sheikh Abeid Amani Karume 4 August 1905- 7 April 1972 UVCCM UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)UVCCM (TANZANIA)
03/04/2022
Ni Kipindi cha Toba na kumrudia Mwenyezi Mungu kwa Maana ndiye asitahiliye
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan waislam wote duniani kote🙏🕌
06/03/2022
Mfungo mwema Ndg.Wakristo Duniani Kote
tudumishe amani upendo na mshikamano.
Kidumu chama cha mapinduzi
mama vijana tupo
21/01/2022
Twende Tukakidumishe chama cha mapinduzi
Maadhimisho ya miaka 45 ya ccm wikaya ya karagwe rasmi yamefungukiwa leo 21 january 2022 Kata kamagambo kijiji Kafunjo
21/01/2022
Salam za pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kuteuliwa na kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wa chama Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania👍
14/01/2022
MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA CCM WILAYANI KARAGWE YANAYOTARAJIA KUFANYIKA KATA YA KAMAGAMBO.
MGENI Raami Ndg. Christopher Pallangyo Katibu CCM MKOA WA KAGERA
IG: UVCCM Karagwe_Kagera
08/01/2022
UVCM Karagwe_Kagera
Tunachukua nafasi hii.kukupongeza Mh. Innocent Bashungwa Mbunnge wa Wilaya ya Karagwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwa kuaminiwa na Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia S Hassan na kukuteua kuwa waziri wa ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.
(TAMISEMI)
05/01/2022
karibu kulike kushare na kukomenti kwwnye page yetu ya UVCCM Karagwe