Mzalendo Kibaha MJINI

Mzalendo Kibaha MJINI

Share

Mzalendo Kibaha Mjini ni kundi la
walioamua kusema ukweli kwa mwaka huu katika uchaguzi wa viongo

Photos 12/07/2015

Hii mnaionaje Wazalendo wenzangu?nasubir comment zenu hivyoooo......!!"

Photos 12/07/2015

Pongezi kwako Mh.magufuli kwa hatua uliyofkia bdo vijana wa Kibaha tunafatilia mchakato mpka tujue yupi mtetezi wetu.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

02/07/2015

Wachambuzi wa Siasa Kibaha wameamua kusema ukweli kwa mwaka 2015 ngazi ya Kata tunatakiwa kupata mtendaji mwenye sifa ya uongozi ili aweze kumsaidia Mbunge kutatua changamoto tulizo nazo.
Na sifa za kiongozi bora siku zote awe na wasifu wa utendaji mfano kwenye chama kafanya nini? Ili tukimpa dhamana ya kuwa kiongozi atafanya k**a inavyotakiwa zaidi . Tumchague mtu mwenye uthubutu ndani ya Chama na nje pia mbunifu na mwenye mawazo ya maendeleo kwa ushahidi wa vielelezo atuonyeshe . Tusiogope! maamuzi ni yetu wanachama tujitokeze kuchagua Kiongozi bora chini na watendaji wenye ubunifu.

THAMANI YA WILAYA YETU TUJENGE KUANZIA CHINI MPAKA JUU.
Tembelea kwenye ukurasa wetu wa

02/07/2015

Imekuwa kawaida sana kwakipindi k**a hichi haki kutotendeka ndani ya mwaka wa Uchaguzi mkuu. Mzalendo ana wasihi wananchi wa Kibaha mjini na hasa wanachama wa CCM kuleta viongozi waliokuwa na utashi na uwezo wa kiuchumi pia kiakili ili tuweze kupambanua au kujikomboa kwenye umasikini awe mfano kwa wenzie anapotuletea sera ya kujikomboa na umasikini awe amefanya kwa vitendo ,propaganda za siasa zimepitwa na wakati ! Viongozi wa Chama ni wajibu wenu kufuata katiba ya CCM kutenda haki . Tuacheni wanachama tumchague kiongozi tunae mpenda hasa ngazi ya Kata maana hawa ndio watendaji wakuu wa wilaya yetu. Pongezi tele kwa Yule ambaye yupo tayari na mpambanaji mfano ni Mbunge wetu na wanaharakati wengine ambao wanahitaji kuingia kwenye mlolongo wa maendeleo.
Kibaha ni ya Wanachama na wanachama ndio sisi, haki itendeke ndani ya chama tupate viongozi wenye utashi na mpango.

THAMANI YA WILAYA YETU TUJENGE KUANZIA CHINI MPAKA JUU.

Want your business to be the top-listed Government Service in Kibaha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Kibaha