27/08/2024
🇹🇿Ukifulahi kwa mema fulahi kwa mabaya pia. Mana wapo wema wanao fanya wema kwa matokeo ya ubaya kwako jikubali mana ujasiri wako ndio silaha ya kuwa pigia mbali.🇹🇿
story
27/08/2024
🇹🇿Ukifulahi kwa mema fulahi kwa mabaya pia. Mana wapo wema wanao fanya wema kwa matokeo ya ubaya kwako jikubali mana ujasiri wako ndio silaha ya kuwa pigia mbali.🇹🇿
25/04/2023
There is a time when you can do that. but don't cause contempt for others Because life has no self
27/03/2023
🇹🇿Vile ambavyo tunafanya kuwa nema na ndo baraka.
🇹🇿Nguvu ni heshima kujenga busara.
🇹🇿Yah ndio ni kweli ila kuna wakati unafikiri uongo kuwa ukweli kwa kutatua mambo ya mpito. 🇹🇿wakati kumbe ungekaa kwenye mstari ungeziepuka athari. be careful
🇹🇿+-Kawasake mwamba
🇹🇿 +-Paloko mmoja
10/11/2019
I like my life family
10/11/2019
Kuifanya aman kutawala moyon ni bora . Na kila penye mafaniko subira pia inahusika amini kwamba pesa ni matumizi ya kidunia ila heshima ni mlango wa matumizi ya milele.god bless mm... 🙏🏼love palokia famil🙏🏻
04/10/2019
Katika maisha huwa naamin kwamba. .......siku nzur niile inayoendana na na mawazo yenye heri kwasababu kuishi kwa picha ni sawa upime uzito wa shili na meri ndan ya maji..................p family 🙏🏻 tg
26/09/2019
Bora kujua kilakitu ila sio kesho.. amini uanacho kiwaza shilikisha pia. Mana maisha niya kila mtu ila wavumiliv ndo wanaokula mbivu........amini utashinda .....""""love palokia family
25/09/2019
Nafikilia kuyatafuta mwanzo kwasababu bado nina dam ya ujana """""""""love palokia.........