Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela

Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela, Political organisation, Kyela.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 03/09/2020

Mbunge mteule viti maalumu kupitia Jumuiya ya Wazazi Tanzania BAHATI NDINGO Amefanya ziara ya kuwashukuru wajumbe wilaya ya Kyela.
Akizungumza na Wanachama wa chama Cha Mapinduzi Wilayani Kyela amesema Anawashukuru kwa kumuamini kuw katika nafasi hiyo.

11/08/2020

Jumuiya ya Wazazi Ccm Kyela inatoa pongezi kwa Bahati Ndingo kushinda katika kula za maoni Uwakilishi wa wazazi Bungeni..
"Kila laheri Bahati Ndingo"

26/07/2020

Jumuiya ya wazazi CCM kyela Inaungana na Watanzania wote pamoja na wanafamilia kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu Benjamini Mkapa

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 14/07/2020

Kamati ya utekelezaji jumuiya ya Wazazi wilayani kyela imetoa mchango wa Mifuko kumi ya Saruji kuchangia Ujenzi wa Zahanati ya Kasala Kata ya Ngusa wilayani Kyela.
Mchango huo umetolewa mara baada uongozi wa Jumuiya ya Wazazi Kata hiyo kutoa taarifa ya Ujenzi wa Zahanati hiyo mbele ya Kamati ya utekelezaji wilaya inayo Ongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 13/07/2020

Jopo la kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Ccm wilayani kyela Leo Wameendelea na Ziara Kwa Kata za Katumba songwe, Ngonga na Bujonde ikiwa Imefikisha idadi ya zaidi ya Kata 27 Mpaka sasa.
Wakizungumza kwa Nyakati Tofauti Viongozi Wa Jumiya hiyo Katika kata zao Wameomba Viongozi hao kuwapatia Miongozo ya Jumuiya ili kuwezesha Ufanisi katika Utendaji wao.
Hata Hivyo kwa upande mwingine Viongozi hao wameomba viongozi hao kuwatembelea mara kwa mara ili kukumbushana katika Majukumu ya Kiutendaji.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 12/07/2020

Uongozi wa Jumuiya ya wazazi kata ya Nkuyu wilayani Kyela Imeomba jopo la Viongozi wa Jumuiya hiyo wilaya ya Kyela Kufanaya ziara za mara kwa mara ili kuongeza nguvu kwa Jumuiya hiyo kuondelea kukijenga Chama.
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya Mwenyehekiti WaJumuiya ya Wazazi wilayani hapa Kutembelea katika kata Hiyo akiongozana na Katibu wa Jumuiya Hiyo pamoja na Jopo la kamati ya Utekezaji wilaya.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 12/07/2020

Mapokezi ya Ziara ya Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi CCM wilaya ya Kyela Mapema hii Leo Katika Kata ya Busale wilaya Kyela.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 11/07/2020

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Kyela Mahamudu Abdallah amewataka Viongozi wa Jumuiya hiyo kuhakikisha wanajiandaa vyema kuelekea Uchaguzi mkuu October mwaka huu.
Hayo ameyasema wakati wa ziara yake Kwenye kata ya Ikama wilayani kyela alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wa kata ya Ikama pamoja na kamati yaa Utekelezaji.
Kwa upande wake Katibu wa Jumuiya hiyo wilaya ya Kyela Ramadhani Abdallah Ndago amesema viongozi wanatakiwa kutambua majukumu yao ili kuepuka migongano katika utendaji wao.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 10/07/2020

Ziara ya kamati ya utekelezaji Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Kyela imeendelea leo kwa Kata tatu (3) huku ikikumbwa na changamoto kubwa iliyo sabababishwa na Mvua zinazo endelea kunyesha wilayani humu na kupelekea Barabara kuharibika.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 09/07/2020

Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Ccm kyela Inaendelea na Ziara yake kwa kata ya 11 na Sasa kikao kikiwa kinaendekea Katika Kata ya Isaki Wilayani Kyela.

Photos from Jumuiya Ya Wazazi Ccm Kyela's post 09/07/2020

Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Kyela imeendelea na Ziara yake leo Julai 09 ikianzia kata ya Ikimba.
Katika ziara hiyo Iliyo ongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wilaya Mahmudu Abdallah Pamoja na Katibu wa Jumuiya hiyo Ramadhani Abdallah Ndago sambamba na kamati ya Utekelezaji wamewataka Viongozi wa Jumuiya hiyo kutekeleza majukumu yao ili kuweka jumuiya ya Wazazi kuwa Hai katika kaza zao.

09/07/2020

"Tunaendelea na ziara ya Kamati ya utekelezaji Ya Jumuiya ya Wazazi Wialaya ya Kyela, leo ikiwa ni Zaidi ya kata mbili tofauti na awali Hivyo leo Tarehe 10.07.2020 tutakuwa na kata 3 amabazo ni Ikimba, Isaki na Ikolo" amesema Ramadhani Abdalah Ndago Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ccm wilaya ya kyela

Want your business to be the top-listed Government Service in Kyela?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Kyela