25/04/2020
https://www.youtube.com/watch?v=9CL4JRTONYc
Zambi aagiza kampuni za kukopesha fedha zichukuliwe hatua.
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya kampuni zinazofanya biashara ya fedha kwa sababu ya kutofuata taratibu.
22/04/2020
https://www.youtube.com/watch?v=gWNpcYbmWm4
Nachingwea yapongezwa kwa kutoa mafunzo kwa vikundi vya wanawake na vijana.
Mkuu wa mkoa wa Lindi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kwa kutoa mafunzo kwa vikundi kazi vya wanawake na vijana kuhusu utengenezaji wa barabara.
22/04/2020
http://www.lindi.go.tz/new/nachingwea-yapewa-pongezi
Nachingwea yapewa pongezi
Nachingwea yapewa pongezi Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea yapongezwa kwa kutoa mafunzo kwa vikundi kazi vya wanawake na vijana kuhusu utengenezaji wa barabara. Akizungumza kabla ya kuwakabidhi vyeti wahitikimu wa mafunzo hayo Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi ameupongeza uongozi wa
22/04/2020
https://www.youtube.com/watch?v=46eVMutFv-E
Zambi azuia uchimbaji wa dhahabu wilayani Nachingwea
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amezuia uchimbaji wa dhahabu katika kijiji cha Mpiruka B wilayani Nachingweakutokana na taratibu zinazotakiwa kutof...
22/04/2020
https://www.youtube.com/watch?v=BY35qEsRVWA
Benki ya CRDB yatoa msaada wa mbegu mkoani Lindi
Meneja Mawasiliano wa Benki ya CRDB Tully Mwambapa amekabidhi msaada wa mbegu za mahindi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi kwa ajili ya wananchi ...
22/04/2020
http://www.lindi.go.tz/new/zambi-azuia-uchimbaji-wa-dhahabu-wilayani-nachingwea
Zambi azuia uchimbaji wa dhahabu wilayani Nachingwea
Zambi azuia uchimbaji wa dhahabu wilayani Nachingwea Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amezuia uchimbaji wa dhahabu katika kijiji cha Mpiruka B wilayani Nachingwea. Akitoa ufafanuzi wa hali ya eneo hilo, mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba alisema walibaini kuwa eneo hilo linach
22/04/2020
https://www.youtube.com/watch?v=3bmUz5ATicc
Prof. Sosovele aeleza nia ya Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd kutaka kuwekeza mkoani Lindi
Prof. Sosovele ameeleza nia ya Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd kutaka kuwekeza mkoani Lindi katika kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa kilichofanyika katika u...
22/04/2020
http://www.lindi.go.tz/new/crdb-yatoa-msaada-wa-mbegu-mkoani-lindi
CRDB yatoa msaada wa mbegu mkoani Lindi
CRDB yatoa msaada wa mbegu mkoani Lindi Benki ya CRDB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa wananchi waliokubwa na mafuriko. K**a inavyofahamika kuwa mkoa wa Lindi ulipata tatizo la mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyeesha na kusababisha kaya takribani 5,545 zenye watu 28,258 kupoteza