Niulize Kuhusu AFYA

Niulize Kuhusu AFYA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Niulize Kuhusu AFYA, Mabibo.

02/06/2026

✨ NYWELE NDEFU, NENE NA ZENYE AFYA ZINAANZA NA UTUNZAJI SAHIHI! ✨

Je, unasumbuliwa na nywele kukatika, kunyonyoka au kutokua kwa kasi? Royal Hair Oil Growth imeandaliwa kwa mchanganyiko wa viambato vinavyosaidia kulisha ngozi ya kichwa, kupunguza ukavu, kuimarisha mizizi ya nywele na kusaidia ukuaji wa nywele zenye afya.

🌿 Husaidia kukuza nywele
Hupunguza kukatika na kunyonyoka
🌿 Hufanya nywele ziwe nene na zenye
nguvu
🌿 Husaidia kuhifadhi unyevunyevu wa
nywele
🌿 Inafaa kwa wanawake na wanaume

πŸ’° MLS 120 = TSH 10,000/=

πŸ“ž +255 786 177 371
πŸ“ Mabibo ~ Mwembeni,
Dar es Salaam

Usisubiri mpaka nywele zipoteze uzuri wake. Anza safari yako ya kuwa na nywele ndefu, nyeusi, nene na zinazovutia leo kwa Royal Hair Oil Growth! πŸ‘‘βœ¨


24/05/2026

Je, unahangaika na:
❌ Nywele kukatika
❌ Kutoota vizuri
❌ Mba na kuwasha kichwa
❌ Nywele kuwa nyembamba na dhaifu?
🌿 Royal Hair Oil Growth imeandaliwa kwa viungo vya asili vinavyosaidia kuimarisha mizizi ya nywele, kuchochea ukuaji, kuongeza unene na kufanya nywele ziwe laini, zenye afya na kung’

14/05/2026

πŸ‘‘βœ¨ ROYAL HAIR OIL INARUDI TENA! βœ¨πŸ‘‘
Habari njema kwa wapenda nywele nzuri na zenye afya πŸŒΏπŸ’š
Stock mpya ya Royal Hair Oil inaingia mwishoni mwa mwezi wa tano! πŸ”₯
Jiandae kupata mafuta yanayosaidia: βœ… Ukuaji wa nywele
βœ… Kupunguza kukatika
βœ… Kulainisha nywele
βœ… Kurudisha afya ya nywele zako
πŸ“¦ Stock itakuwa limited!
Wahi kuweka oda mapema kabla haijaisha.
πŸ“© Inbox/WhatsApp kwa booking na maelezo zaidi
+255786177371

14/05/2026

πŸ‘‘βœ¨ ROYAL HAIR OIL INARUDI TENA! βœ¨πŸ‘‘
Habari njema kwa wapenda nywele nzuri na zenye afya πŸŒΏπŸ’š
Stock mpya ya Royal Hair Oil inaingia mwishoni mwa mwezi wa tano! πŸ”₯
Jiandae kupata mafuta yanayosaidia: βœ… Ukuaji wa nywele
βœ… Kupunguza kukatika
βœ… Kulainisha nywele
βœ… Kurudisha afya ya nywele zako
πŸ“¦ Stock itakuwa limited!
Wahi kuweka oda mapema kabla haijaisha.
πŸ“© Inbox/WhatsApp kwa booking na maelezo zaidi.
+255786177371

13/05/2026
21/02/2026

Asante Mungu kwa kunipa mwanzo mpya wa kukua zaidi zidi kunilinda na mkono wako hodari usiotikisika kila siku niishi kukuamini na kukutegemea wewe
IS A NEW BEGINNING❀️‍πŸ”₯❀️‍πŸ”₯πŸ’₯

Photos from Niulize Kuhusu AFYA's post 06/02/2026

ULIPO TUPOOO❀️‍πŸ”₯❀️‍πŸ”₯

06/02/2026

🩺 UJAUZITO WA MAPACHA 🩺

Ujauzito wa mapacha ni hali ambapo mama hubeba watoto wawili au zaidi tumboni kwa wakati mmoja. Ujauzito huu unahitaji uangalizi wa karibu zaidi wa kiafya.

🩺 Aina za Ujauzito wa Mapacha

🩺 Mapacha wanaofanana (Identical twins) – Hutokana na yai moja kugawanyika.
🩺 Mapacha wasiofanana (Fraternal twins) – Hutokana na mayai mawili tofauti kurutubishwa.

🩺 Sababu Zinazoongeza Uwezekano wa Mapacha

🩺 Kurithi (historia ya mapacha kwenye familia)
🩺 Umri wa mama (miaka 30 na kuendelea)
🩺 Matumizi ya dawa za kuongeza uzazi
🩺 Kuzaa mara nyingi
🩺 Mabadiliko ya homoni

🩺 Dalili za Ujauzito wa Mapacha

🩺 Tumbo kukua haraka kuliko kawaida
🩺 Kichefuchefu kikali
🩺 Uchovu mwingi
🩺 Kuongezeka uzito haraka
🩺 Mtoto kuanza kucheza mapema

🩺 Changamoto Zinazoweza Kutokea

🩺 Upungufu wa damu
🩺 Presha ya mimba (kichaa cha mimba)
🩺 Kujifungua kabla ya wakati
🩺 Watoto kuwa na uzito mdogo

🩺 Huduma Muhimu kwa Mama Mjamzito wa Mapacha

🩺 Hudhuria kliniki mara kwa mara
🩺 Fanya vipimo na ultrasound kwa ratiba

31/01/2026

πŸ’Š BUSHA HUTOKANA NA NINI KWA MWANAUME? πŸ’Š

Busha (kitaalamu: Gynecomastia) ni hali ambayo matiti ya mwanaume huongezeka au kuvimba kutokana na mabadiliko ya homoni au sababu nyingine za kiafya.

πŸ’Š 1. Mabadiliko ya Homoni

πŸ’Š Usawa kati ya homoni za testosterone (ya kiume) na estrogen (ya k**e) unapobadilika, busha hujitokeza.
πŸ’Š Hutokea mara nyingi wakati wa:

Balehe

Uzee

πŸ’Š 2. Uzito Kupita Kiasi (Unene)

πŸ’Š Mafuta mengi mwilini huongeza estrogen, hivyo kuchangia busha.
πŸ’Š Hii huitwa pseudogynecomastia (busha la mafuta).

πŸ’Š 3. Matumizi ya Dawa Fulani

πŸ’Š Baadhi ya dawa za:

Presha

Vidonda vya tumbo

Homoni

Steroids
zinaweza kusababisha busha k**a athari.

πŸ’Š 4. Pombe, Sigara na Dawa za Kulevya

πŸ’Š Pombe nyingi, bangi, na dawa za kulevya huathiri homoni na ini, hivyo kuchangia busha.

πŸ’Š 5. Magonjwa Fulani

πŸ’Š Magonjwa ya:

Ini

Figo

Tezi (thyroid)
yanaweza kuathiri homoni na kusababisha busha.

πŸ’Š 6. Sababu za Kurithi (Genetics)

πŸ’Š Wengine hurithi tabia ya kupata busha kutoka kwa familia.

πŸ’Š 7. Lishe Duni na Mtindo

31/01/2026

πŸ’Š AFYA YA MIMBA πŸ’Š

Afya ya mimba ni hali ya kumtunza mama na mtoto tumboni tangu mwanzo wa ujauzito hadi kujifungua.

πŸ’Š 1. Kliniki za Mimba (Huduma Kabla ya Kujifungua)

πŸ’Š Mama mjamzito anatakiwa kuhudhuria kliniki mapema na mara kwa mara kwa uchunguzi wa afya.

πŸ’Š 2. Lishe Bora Wakati wa Mimba

πŸ’Š Kula vyakula vyenye virutubisho k**a protini, mboga za majani, matunda, nafaka na vyakula vyenye madini ya chuma.

πŸ’Š 3. Matumizi ya Vidonge vya Lishe

πŸ’Š Vidonge k**a folic acid na iron husaidia kuzuia upungufu wa damu na matatizo ya ukuaji wa mtoto.

πŸ’Š 4. Mapumziko na Usingizi wa Kutosha

πŸ’Š Mama apumzike vya kutosha ili kupunguza uchovu na msongo wa mawazo.

πŸ’Š 5. Kuepuka Vitu Hatari

πŸ’Š Epuka pombe, sigara, dawa bila ushauri wa daktari na kazi nzito.

πŸ’Š 6. Usafi na Mazoezi Mepeesi

πŸ’Š Dumisha usafi wa mwili na fanya mazoezi mepesi k**a kutembea kwa ushauri wa mtaalamu wa afya.

πŸ’Š 7. Dalili za Hatari Wakati wa Mimba

πŸ’Š Kutokwa damu nyingi
πŸ’Š Maumivu makali ya tumbo
πŸ’Š Kuumwa kichwa sana au kuona ukungu
πŸ’Š Endapo zikitokea,

Want your business to be the top-listed Government Service in Mabibo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Mabibo