Juma Yanga 5G

Juma Yanga 5G

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juma Yanga 5G, Playground, jumaaraphael708@gmail. com, Makabe.

16/01/2024

: Nyota wa Timu ya Taifa ya Burkina Faso ambaye anakipiga Yanga SC, Stephane Aziz Ki amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka NBC Premier League (NBC PL) β€˜kukiwasha’ kwenye michuano ya .

Aziz Ki ametumia dakika 85 kulipambania taifa lake dhidi ya Mauritania.

Je, baada ya Aziz Ki, nani anafuata kutoka NBC PL?

FT: Burkina Faso 1-0 Mauritania

Mechi iliyopo hewani muda huu ni Tunia dhidi ya Namibia LIVE

Kumbuka mechi zote 52 za AFCON Live na kwa ung'avu wa HD kupitia na .

Lipia mapema kifurushi chako cha shilingi 25,000 ili usipitwe na fainali hizi.

(Imeandikwa na )

Photos from Juma Yanga 5G's post 16/01/2024

Wachambuzi mavi wa Radio free africa na Radio one,,mmeusakama sana usajili mpya wa Yanga kwa vichwa vyenu vibovu eti yanga tumefeli,,swali sio nyinyi vilaza mlioponda usajili wa LOMALISA,MUDATHIR,PACOME,AZIZ ,YAO NA MAX?? Sio nyie mliosema kuondoka kwa NABI,MAYELE,FEISAL,BANGALA NA SODA YA BEMBA kuwa yanga itastruggle,,Sasa tunasema msizifute clip za maneno yenu,,Sasa ngojeni MASTER GAMONDI aanze mambo yake ni nyie ndo mtakuwa wakwanza kubana pua mkiwasifu,, SISI WANANCHI TUNASEMA TABULELE LAAAAAAA

Shabani FUNDI sports
Shabani Fundi Sport

15/12/2023

Followw

01/12/2023

π—§π—¨π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—˜ π—žπ—ͺ𝗔 π— π—žπ—”π—£π—” πŸ’ͺπŸ”°

Popote ulipo mwananchi hakikisha kesho tunakutana Benjamin William mkapa 🏟️ tunakwenda kutoa somo Afrika kwa timu zote ambazo zinataka kujifunza namna ya kutumia uwanja wa nyumbani.

Njo mwananchi mwarabu hatokiπŸ–οΈ.

27/11/2023
27/11/2023

𝗭π—₯𝗔 & π—­π—œπ—£π—”

"Tunafahamu kuwa hamasa ya Young Africans inaweza kuwa chachu kwenye ulipaji kodi wa hiari kwa Wananchi wa Zanzibar. Tuna matumaini makubwa kuwa katika makubaliano haya ya muda mfupi basi yataacha alama itakayodumu kwa muda mrefu sana"

"K**a unahisi kuna jambo ambalo linakupa furaha basi usikae mbali nalo. Kila mtu anajua kuwa Young Africans kuna raha, sasa kwanini tusifanye nao kazi? Sisi tunategemea kwa nguvu kubwa ya Young Africans basi ZRA itajulikana zaidi. Nafahamu hao wanaokuja kucheza na Young Africans basi watakutana na msiba mzito nasi tutashiriki kuhakikisha tunaunga mkono juhudi za Young Africans"

Β©Shabani Yahya Afisa habari ZRA

"Nilipoletewa kuhusu mpango wa kushirikiana na Young Africans, nikauliza hii si ndio ile timu ya Wananchi? Nikajibiwa ndio nikasema hilo limepita. Hawa wana uwezo mkubwa wa kuturudisha sisi kwa Jamii na kutangaza bidhaa zetu. Tunaitambua na kuheshimu nguvu ya Young Africans. Tuna matarajio makubwa sana kupitia hii

Β©Bacca Day" Alhaji Jecha - Mkurugenzi ZIPA

"Tunafahamu kupitia Bacca Day tunaenda kuunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Hussein Mwinyi kwa kutangaza utalii wa Zanzibar kupitia siku hii ya Bacca Day"

26/11/2023

Tiketi za mchezo wetu wa dhidi ya Al Ahly SC zinapatikana katika vituo tajwa.

Wahi sasa ukate tiketi yako mapema

16/11/2023

injinia soma iyo 🀣🀣🀣🀣🀣

Want your business to be the top-listed Government Service in Makabe?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Jumaaraphael708@gmail. Com
Makabe