14/09/2026
Aliyekuwa mwanafunzi na zao la Grace college akieleza kuhusu utarihi wa ndani . Chuo cha Grace college ni chuo kilichopo Mbeya mjini karibu na chuo kikuu cha mzumbe magorofani. Chuo kinatoa kozi za ICT HOTEL TOUR GUIDE SECRETARY na Nursary school kwa vigezo nafuu kabisa Ewe kijana wa kitanzania karibu sana Mbeya Grace college ili kutimiza ndoto zako