26/12/2024
*EMBASSY* *SCHOOL* *CENTER* .
Imetoa nafasi zingne tena 2025 za ufadhili wa elimu ya secondary kwa vidato vyote,I-VI.
NB: Ufadhili huu kwa wale watakao fika ndani ya miezi 2tu, yaani kuanzia TAREHE 04/01/2025 Hadi 30/02/2025.
*SIFA ZA* *MUOMBAJI* .
I)awe hakumaliza, amemaliza la saba, kafeli au kafaulu
II)Awe anarudia mitihani wa Form two, form four, au six.
III) combination zimebalance au hazikubalance.
IV) Awe hajafanikiwa kufika form four, kakomea form 1,2, au form3.
V).Umri usiozidi miaka 30.
*TARATIBU ZA* *KUOMBA NAFASI.*
Mzazi/mlezi/ mhitaji atapiga simu, kwa mkuu wa shule ili kupewa ratiba ya kuripot shuleni.
*ADA YA SHULE.*
Mwanafunzi atalipiwa ada yote kiasi cha 450,000, kila mwaka, mpaka atakapomaliza masomo yake.
*HOSTEL*
*MZAZI/MLEZI* *ATACHANGIA* *GHARAMA* *ZIFUATAVYO* .
( *Wasio wakulima)*
1.Ataisaidia taasisi kuchangia kiasi kidogo cha TSH. 60,000/= Kila mwezi. Upande WA hostel, ikiwemo, chakula, umeme, maji, kulipia pango n.k
( *Wakulima* )
Kwa wale wakulima, watachangia KILA mwezi
I)mahindi DEBE 1.
II)mchele 5kg
III)maharage 3kg
Iv) sukari 1kg.
*ENEO SHULE* *ILIPO* .
Tupo morogoro mjini mtaa tubuyu tumetazamana na secondary ya nanenane.
*MASOMO* .
shule inafundisha masomo yote, sayansi na arts,kwa upande WA olevel.na upanda wa A-level ni combi za art pekee.
*SALE YA SHULE.*
1)suluari/skirt nyeusi
2.sharti jeupe tai nyeusi
3.tsh*t ya shule 10,000/=
*MAHITAJI YA* *HOSTEL* .
1) Ndoo, kijiko,godoro,plate, mathematical set, rula, dafutari counta qr 2,
*ANGALIZO* .
taasisi yetu, inahusika Sana na kutoa msaada kwa vijana,
wenye uhitaji WA kupata nafasi, hii adimu. K**a umesoma maelezo haya na umegundua unaweza vigezo na masharti, omba utaratibu WA kuripoti, shuleni, utapewa.
Kumbka waombaji ni wengi, wanaochaguliwa wenye sifa chache.
BN: ''the golden chance never come twice''
All the best 2025.
*Mawasiliano* .
0766855240

31/08/2023
27/08/2023
18/08/2023
15/08/2023
14/08/2023
13/08/2023