15/05/2026
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Wildlife Management Authority - TAWA, Government Organization, Tafori Building, Morogoro.
Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania(Tanzania Wildlife Management Authority -TAWA) ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria Ya Wanyamapori Na.5 ya mwaka 2009.
15/05/2026
15/05/2026
15/05/2026
🇹🇿
14/05/2026
Hii si ya kukosa!!
🇹🇿
Wasanii kutoka tasnia mbalimbali, wakiwemo watengeneza muziki maarufu nchini (music producers), wameendelea kuelezea uzoefu wao wa kutembelea hifadhi zilizo chini ya usimamizi wa TAWA.
Leo tunaye Junior Hassan maarufu k**a .mixx_pro “Masai”, mtengenezaji wa muziki na matangazo ambaye amewahi kufanya kazi na wasanii wengi maarufu pamoja na makampuni mbalimbali katika uandaaji wa matangazo ya kibiashara na burudani.
Akizungumzia uzoefu wake, Masai ameuelezea uzuri wa hifadhi mbili za TAWA alizowahi kuzitembelea ambazo ni Hifadhi ya Mpanga-Kipengere iliyopo katika mikoa ya Njombe na Mbeya, pamoja na Makuyuni Wildlife Park iliyopo mkoani Arusha.
mixx_pro .makuyuni
11/05/2026
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Watanzania wote kuwapongeza timu ya Taifa ya wanawake chini ya miaka 17, Tanzanite Queens, kwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Poland mwaka 2026.
Mafanikio haya ni fahari kubwa kwa Taifa letu na yameonyesha uwezo, nidhamu na juhudi za vijana wa Kitanzania katika kuitangaza nchi kimataifa. Tunawatakia maandalizi mema na mafanikio makubwa zaidi katika mashindano hayo ya dunia.
🇹🇿
10/05/2026
♥️
10/05/2026
❤️ ❤️ 🇹🇿
Msanii mkongwe na mashuhuri, Ramadhan Ally, aliyewahi kung’ara katika tasnia ya filamu kupitia tamthilia mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo Jumba la Dhahabu na Misukosuko, ameweka bayana uzuri na upekee wa hifadhi zilizo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA).
Aidha, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kuzitembelea hifadhi hizo ili kujionea vivutio vya kipekee vya utalii vilivyopo.
.kaskazini .makuyuni
#2026