Elimika UISHI

Elimika UISHI

Share

ELIMIKA UISHI ni programu inayotoa Elimu ya Usalama barabarani. Inaandaliwa na ADNEYL LEGACY kwa kushirikianana Jeshi la Polisi

28/04/2025

MCHORO SAHIHI NI B

14/04/2025

Mhoro upi ni sahihi kati ya mchoro "A" na mchoro "B" katika kivuko hiki cha watembea kwa miguu?

08/04/2025

GARI LA KWANZA NO. 1, GARI LA PILI NO. 2 NA GARI LA TATU NO. 3

07/04/2025

Ni gari lipi la kwanza kupita na lipi la mwisho kupita.

04/04/2025

Gari la kwanza ni no. 3 sababu barabara iliyopewa kipaumbele ni hiyo anayotoka no. 1 kwenda kwa no. 3, hivyo ataanza No. 3. atafuata no. 1 sababu yupo kwenye barabara kuu na wa mwisho ni namba 2 ambae anaingia kwenye barabara inayopewa kipaumbele lakini pia ana mchoro wa kutoa kipaumbele hivyo lazima awe wa mwisho.

01/04/2025

Gari la kwanza ni no 2, gari la pili ni no 3 na gari la tatu ni no 1.
Hii ni kutokana na alama ya gari namba moja ina mstari ambao unaitaka gari husika kusimama. namba mbili na tatu zina mistari yenye dash ambayo inawataka watoe kipaumbe na kwenda k**a salama.

31/03/2025

TUAMBIE, ni gari lipi la kwanza kupita na lipi la mwisho kupita.

14/10/2023

Dereva wa Bajaji, zingatia idadi ya abiria katika Bajaji yako na abiria wa bajaji msikubali kuning'inia kwenye bajaji.

Ni wajibu wa kila mmoja kuchukua tahadhari anapotumia vyombo vya usafirishaji.

ELIMIKA

Kwa elimu zaidi bonyeza👇🏾
https://youtube.com/?si=l7_FXw7o7Yj1YINJ

Want your business to be the top-listed Government Service in Morogoro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Kihonda Maghorofani
Morogoro
374